Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kipindi gani unaweza ukafanya mapenz alafu mwanamke asipate mimba ....ebu niambie mzunguko wa siku unakuwaje.....na je kuhesabu siku unaanza kipind gani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani ngozi ya figo ya kuna mabaka na miwasho inayoambatana na maumivu pamoja na mikuno piya naomba msaada wenu.nini kifanyike?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za jioni, Nina ndugu yangu amelazwa Kibasila tokea juzi akitokea Temeke kwa ajili ya operation ya haraka lakin tokeo tumehamia muhimbili hamna kilichofanyika. Hamna vipimo, wala hiyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu wataalam naomba msaada mtoto wangu anasumbuliwa na macho yaani nimetumia dawa hasa ya maji lakini hamna kitu. Msaada jamani maana mtoto anateseka.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu naomba ushauri wa kitaalamu nimemaliza dozi ya amoxlyn siku tatu zmepita na Leo Luna harusi vp naweza kunywa pombe Leo? Dozi iliisha j5, msaada jamani
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Harvard scientists have announced a breakthrough that could eventually allow millions of diabetics to shed the yoke of daily insulin injections. It took over 15 years of trial and error, but...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
KIRUSI CHA EBOLA KWA UFUPI Miongoni mwa magonjwa mabaya zaidi duniani ni yale yanayoenezwa na virusi, hebu tumchunguze huyu ni kiumbe wa namna gani. Virusi ni vijidudu vidogo sana kiasi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wataaramu was afya naomba msaada Me ni mjamzito wa miezi tisa lakin nasumbuliwa na maumivu ya kiuno,mgongo na tumbo kalibia inafika wiki na nusu lakn cyo ya moja kwa moja kina muda yanaacha na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu, Swali linajieleza, naomba kujua kama ni lazima mtoto awe na kundi la damu sawa na la baba yake mzazi? Naomba kujuzwa
0 Reactions
4 Replies
7K Views
It is 5:41 pm in Monrovia on Friday, October 10, 2014 Calling all citizen journalists: If it has happened, is happening or is about to happen in your community, let us know. Find our...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Hivi nikwel mwanamke bikra yake upotea kwa kucheza mpira,ku drive baiskeli? Au mambo gani upoteza bikra kwa mwanamke
1 Reactions
70 Replies
23K Views
Yaani kuna kitu kinapekecha hasa niamkapo asubuhi ndo balaa. Cha ajabu ni kwamba niamkapo asubuhi nikiwa nimebanwa sana na mkojo ndio bega linauma ile mbaya, nikienda kukojoa linaachia pole...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
A new scientific study has shown that sleeping with your phone on can result in obesity. Scientists in Spain have found that the artificial light emitted from the screens of phones, tablets...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa. Nahitaji msaada au ushauri wa kimatibabu kwa yeyote aliwahi kuugua OVARIAN CYST, hata kama hujawahi kupata tatizo hilo ila kuna mtu unaemfahamu aliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo...
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Habari zenu Wakuu.Ninaomba Msaada wa Mawasiliano ya Daktari Bingwa Wa Macho Kwa Dodoma na Dar.Natanguliza Shukrani
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Habari wana JF. Juzi kati dadangu na mumewe walienda kwa docta na mtoto wao wakiume, umri miez 8 kutaka kumpatia sunna (kumtahiri). Docta akawaambia si vema kufanya tendo hilo katika umri huo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jf, tafadhalini naomba msaada kwa yoyote anaejua hili tatizo. Siku zangu za hedhi zimekua chache sana, naenda siku moja tu basi. Haikua hivi mwanzo, kabla sijapata miscarriage nilikua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mke wangu ana ujauzito,ameenda hospitali amepimwa kama ilvyoada,amepewa majibu yote,isipokua ya vvu,ameambiwa paka mimi niwepo.je ni sawa yeye kunyimwa majibu paka mimi ni wepo?mimi npo mbali...
0 Reactions
1 Replies
933 Views
wakuu ushauri,nina tatizo la kuona vidot pale ninapoangalia vitu plain kama karatasi,maji,angani na hali hii inaongezeka
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Back
Top Bottom