Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba kujulishwa kuhusu hili. Ninapata maumivu makali sana ya tumbo, kiuno na miguu wakati wa hedhi na nisipokunywa dawa maumivu haya hunisababishia kutapika sana kila ninachokula na hata kuzimia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
AZOOSPERMIA-means no sperm count/is a condition where no sperm present in semen OR is lack of in the ejaculate.Cause;there is aproblem with sperm production.There are blockage such that sperm...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kifaa cha kupimia joto la mwili wa binadamu kijulikanacho kama "thermometer", hakiwezi kua kienezi cha baadhi ya magonjwa ya binadamu?..mf: magonjwa ya ngozi na mengineyo kama hayo, kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nini Chanzo Cha Tatizo? Anakojoa Mkojo Kisha Inafuata Dumu Tupu Mzito,maumivu Anayapata Chini Ya Uume Anapomariza Kukojoa Damu,mkojo,haja Ndogo Na Damu Alipimwa Tmj Hosp Havijaonesha Tatizo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau mimi nina tatzo la kujisikia kichef chef, nalegea na moyo kwenda mbio mara kwa mara.. nimepima vipimo vyote cna tatzo lolote!!! Sasa hiv takriban miez mi3 mfululizo nateka sn... plz naomben...
0 Reactions
3 Replies
36K Views
habari zenu wakubwa naombeni ufafanuzi kuhusiana na tatizo hili kwamba mgonjwa huanguka na kupoteza fahamu mara kwa mara pasipo kupata dalili zozote kama kuumwa kichwa sana au kizunguzungu kabla...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari za mida wakubwa, kuna rafiki yangu meno yake ya mbele yamepasuka/yameoza, hivi kuna uwezekano wa kuyajaza au magego tu ndo huwa yanajazwa? Naomba kujuzwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilisikia maumivu ya Shingo kidogo nikala DICLOPAR kama masaa matatu yaliyopita. Naweza kulamba kilaji?
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Kuongezeka uzito wa mwili imekuwa ni tatizo kubwa linalokabili jamii. Nimeonelea kuunda group whatsapp ambalo tutakuwa tunajadili na kupeana motivational na tips mbalimbali za kupungua. Na mm pia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
With due respect, nawasalimu wote katika jina la Bwana. Likewise kwa ndugu zangu wa kiislamu, Asalaam Alleykum. Ever since the existence of HIV/AIDS in our lovely planet, there are some concerns...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wakuu... *Naombeni msaada ngozi yangu ina mabakamabaka nahisi ni kutokana kupigwa na jua sana. *Je ni njia gani naweza kuyatoa au cream gani nitumie.!? Amani kwenu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya kazi kwenu jamani pendeleeni kula Mdalasini na Asali ina faida nyingi sana.
4 Reactions
29 Replies
22K Views
Ni Baada Ya Vipimo Vyote Vya Damu Dokta Kasema Tatizo Langu Linasabishwa Na Mwili Wangu Kuwa Na Damu Nyingi HiVi Hili Suala Lipo Kweli Wakuu?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu nipo kwenye taasisi moja kama mganga, kuna ongezeko kubwa la mabinti wanaokuja kuripoti na huu ugonjwa wa kucheza cheza miguu mara tu wanaposimama, wakikaa hakuna shida. Kuna wavulana pia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nitumie kitu gani kuondoa hyo kitu wana jf
0 Reactions
5 Replies
4K Views
je una tatizo la nguvu za kiume au kike... kuna suluhisho MULTI MACA... NI Viruubisho vilivyotengenezwa kwa mfuo wa vdonge ni vinafanya kazi kwa haraka na matoko mazuri na imetibitishwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu sijajua tatizo ni nini ila nina zaidi ya wiki tatu hapa sina hamu ya kufanya mapenzi. Ila kuna wiki mojawapo katika hizo tatu nilikuwa natumia dawa za typhoid. Wiki imeisha tangu...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
. Leo pia tutaendelea kuyajadili magonjwa ya zinaa ambapo tutazungumzia ugonjwa wa Trichomaniasis, ambao huwaathiri sana wanawake kuliko wanaume. I. Ugonjwa wa Trichomoniasis ni ugonjwa...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Tafadhalini madokta naombeni msaada wenu wakaribu: Jamani nina ndugu yangu wa kiume miaka 20 sasa, anasumbuliwa na tatizo lakupata choo chepesi/laini sio (kuendesha) yapata miezi 5 sasa tangia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimeumwa na kichwa mpaka nikadondoka. Kucheck nikakutwa na vp ya 170/120. Nikapewa dawa ya kushusha lakini kesho yake nikapima 199/128. Nikabadilishiwa dawa, Leo nimepima 175/113. Mbali na ile ya...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Back
Top Bottom