Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote???? uwanja wenu jamani
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Salaam wana JF. Poleni na majukumu kama kichwa cha uzi kinavyo someka. Nina mtoto mwenye umri wa mwaka na miezi minne hapati usingizi ikifika saa nne za usiku ndio michezo inazidi na anataka...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
​ ​ KWA UFUPI Dhana hii potofu imesababisha wazazi wengi kuwapiga marufuku watoto wao kutumia wakidhani ndiyo chanzo kikuu. Leo nitaelezea ugonjwa huo wa mafindofindo ama kwa...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
“Tunafanya kampeni ya kupambana na vipodozi vyenye sumu kwa sababu tatizo ni kubwa nchini.“Hadi sasa asilimia 52 ya Watanzania hutumia mkorogo. matokeo yake wengi wameathirika na wanashindwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wenye uelewa naomba msaada itakuwa ni ugonjwa gani? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
10 Replies
54K Views
Habari wapendwa! Hili tatizo la kutetemeka wakati ninapowasiliana na wengine sijui litaisha lini. Maana ni aibu sana nashindwa kuwasilisha hoja zangu makini sababu ya kutetemeka. Pumzi...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Wakuu, naomba ufahamu ni sababu zipi zinazopelekea mwanamke akakosa siku zake za hedhi tofauti na anapokiuwa mjamzito?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Damas Makangale, Moblog kwa Msaada wa MtandaoMsichana Jacqui Beck (19) ni mtoto wa kike ambaye amezaliwa bila kiungo muhimu cha Mwanamke (Uke) na hawezi kufanya ngono au kupata Watoto kutokana...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
kwa mtalaam yeyote wa afya . .ninatatizo baada yakumeza dawa ya allerg ili kupungua macho kuwasha na vipele ila chakushangaza . .macho yamepungua kuwasha ila kuna pimples zlitokoe huwa haziishi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili tatizo limeanza kunitokea siku hizi, yani nikimaliza goli la kwanza basi goli la pili nitakaa sana mpaka uume usimame, sasa nikiwa katikati ya goli la pili uume unasinyaa kabsa,na pia goli la...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Siku moja mtoto wangu wakike mwenye miezi 7 alipoamka kutoka usingizini alianza kulia mara baada ya muda machozi yalimwingia masikioni kwani alikuwa amelalia mgongo na dada wa kazi alichelewa...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
kwa yeyote anayefahamu namna ya kutibu miguu iliyopasuka (machacha) anisaidie.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
ni kijana wa miaka 21 nasumbuliwa na chunusi flani kama vijipu uchungu kwa sabu vinatoa usaha na damu mwshoni pleaz wakubwa naombeni msada nfanyeje?hasa maeneo ya puani na chni ya mdomo au kidevuni
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Baada ya kufanya ngono isiyo salama kwa miezi takribani isiyopungua sita huko nyuma, mwili ulianza kutokuwa katika hali yake ya kawaida, nimekuwa na homa za mara kwa mara miezi yote hyo, kichwa...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Heshima kwenu wakuu.. Ndugu zangu kuna Dada yangu juzi ameenda hospitali kufanya vipimo, baada ya vipimo amegundulika kuwa ana Uvimbe katika ovari kwani alianza kudai kuwa anasikia maumivu upande...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu! Nna ujauzito wa miez 6 sasa, je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri? Gata akiwa class awe dizaini za wale watu mwalimu akifundisha awe...
1 Reactions
55 Replies
16K Views
ninaumwa na kichwa kisichotulia nilipima nikakutwa na malaria 5 nkapewa dozi ya mseto mwanzoni hakikupoa niliporudi hospital niliambiwa mseto itakua imeshindwa kuwaua wadudu nkatundikiwa drip za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
To this date, only one person is thought to have been cured of HIV - the "Berlin patient" Timothy Ray Brown. But no one is exactly sure which aspect of Brown's treatment may have cured him...
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Back
Top Bottom