Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

helo doctors, mchumba wa rafiki yangu hataki kupima, kasema tumpelekee vipimo ajipime mwenyewe! je, hyo inawezekana? na tunaweza kupata wapi??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf. Ni katika hospitali zipi za Dar nitapata daktari wa magonjwa ya wanawake?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu hivi mtu akipumua huku anahema ana matatizo tena wakati amepumzika???
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar wakuu, Naomba kujuzwa, hivi kama mtu alipata period tarehe20 august akapata tena tarehe20 sept. mzunguko wake unakua niwa cku ngap? 28 au zaid? na ovulation inaweza anzia tarehe zipi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana Jf naomba mwenye jina kitabu kizuri cha human reproduction au link ya kudownload nisaidie please.
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Wapendwa naomba kujua kama ugonjwa wa kaswende (syphilis) unaweza sababisha mwanamke kutokupata ujauzito? Je ni matibabu gani huu ugonjwa unatibikaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu! Nna mimba ya miezi sita naelekea saba! Tatizo langu ni kwamba nkila chakula hata kidogo bas mim nakuwa napata shida sana! Nkiwa ofisini kukaa kitini cwez nahangaika yaan utanionea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Photo by Getty Images Listen up, men: A new study has found a way for you to reduce your chances of having a heart attack by a whopping 86 percent. All you have to do is exercise regularly, eat...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Salama humu ndani? Jamani naombeni mnipe uzoefu nyie ambao mmeshakua na watoto na mna uzoefu hata kupitia vitabu tofauti. Ovulation day ya wife wangu ilikua ni tar 12/9 na ndo kwake ilikua siku...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Salaam kwa wana JF wote, nipo hapa kuelimishwa juu ya ugonjwa wa MATEZI, kujua yafuatayo... 1.Matezi yanasababishwa na nini ? 2. Dalili za matezi ni zipi? 3. Utajijua vipi kwamba unasumbuliwa na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ndugu zangu naombeni msaada wenu make mashine yangu inanichanganya kwani nikienda ni dk 3 halafu inalala kuamka tena mpaka baada ya saa 1!! jamani naomba mnisaidie!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na dada yangu anakosa usingizi kabisaaa nimehangaika vya kutosha japo mm ni muislam lkn ilifika kipindi nikawa nawatumia hata wanamaombi wa kilokole kuja kumuombea lkn wapi mashekhe nao lkn wapi...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
http://foodfacts.mercola.com/amaranth.html What Is Amaranth Good For?Amaranth AdvantageBotanical name: AmaranthusCultivated by the Aztecs 8,000 years ago and still a native crop in Peru, the...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana,kuna mtoto wa dada yangu anaumri wa karibia miaka 3,tatizo lake mtoto hawezi kuongea...je atakuwa na matatizo gani kiutaalamu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
hi doctors,kuna mwanangu ana umri wa mwaka mmoja sasa na sielewi kwann hapati usingizi. yaani iwe mchana iwe usiku kulala ni kwa mbinde..mchana anaweza lala mara mbili lakini kila akilala ni kwa...
1 Reactions
6 Replies
10K Views
.....hfhlfk
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hello jf members nahitaji msaada ni sehemu gani nitampta daktari wa wanyama, nahitaji kumzuia paka wangu asizae!! if possible nikipata full details zake, i will be gratefull hope to get help...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi mimi ni mwanafunzi kidato cha sita mkoan pwani nasumbuliwa na usingizi mara kwa mara hasa baada ya kula muda wowote kwa anaeijua tiba..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Za saa hizi waungwana. Mimi ninaumwa jino na nipo Kilimanjaro. Nasikia hindu mandali wanauwezo wa kutoa jino bila sindano au wanakupaka dawa afu wanakuchoma sindano bila maumivu.? Na je bima ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kupata majibu ya uhakika kuhusiana na utengenezwaji wa condoms kama nilizo zitaja hapo juu, kwamba zinatengenezwa hapa tanzania au huwa zinanunuliwa kutoka nnje? Na, Hawa PSI Tanzania ni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom