Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wana JF Doctors, Nahitaji kujua kwa undani zaidi juu ya dawa aina ya Isosomabide Mononitrate(kazi yake,faida yake na madhara yake)
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Mwenye dawa jaman nasumbuliwa na kiuno na tumbo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
COLGATE TOTAL Triclosan 0.3% w/w, Sodium Fluoride EP 0.32% w/w (1450ppm F) TRICLOSAN ni kemikali inayotumiwa kama kiambata katika bidhaa nyingi ikiwa ni pamoja na sabuni, vipodozi, nguo...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana jamvi, leo tulikuwa na ubishi juu ya maambukizi ya ukimwi, jambo tuliloshindwa kufikia muafaka ni kuhusu damu inayotoka siku ya hedhi, naomba nililete kwenu ki hivi; inasemekana kuna...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
wapendwa habari. kichwa cha habari chahuska. naomba kujua mafuta mazuri ya kumpaka mtoto mchanga. thanx in Adv
2 Reactions
14 Replies
48K Views
kuna mtindo wa mtu mzima akisikia mlio mkubwa wa honi anakpandisha midadi ukipita kariakoo vijana wa kihuni utakuta wanawa...j...ammb...sha halafu mtu anaruka wengine unakuta wanajishika shehemu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
On the whole, our immune system does a remarkable job of defending us against disease-causing microorganisms. But sometimes it fails: A germ invades successfully and makes you sick. And maybe get...
0 Reactions
2 Replies
935 Views
habar polen na majukumu ya hapa na pale, mimi nina shida jaman naomba kujuzwa na hii hali ni ya kawaida au la, nimeanza kuona cku date 3 mzunguko wangu ni 27 na 29 sasa toka nianze bleed leo ni...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Hii ni habari ya kweli kwa kuwa imenihusu mimi mwenyewe,Kwa miaka tisa nimejaribu kutafuta mtoto na mke wangu bila mafanikio.Nimetembelea hospital mbalimbali bila mafanikio. Lastly, nimepata dawa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimejaribu malishe mbali mbali kama za forever living lakin hamna kitu, nimetoa hela ndefu mpaka imeniuma. Msaada wenu wakuu, am male,age 23 BMI yang u ni 17.7 ambayo ni under weight
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Rport ya Bank ya dunia nikuwa kwa wik moja iliyo pita idadi ya watu walio ambukizwa ugonjwa wa Ebola wamefikiaa mia 7 (700), na kwa idadi ya watu waliopoteza maisha yafika 2600 . Tuungane ktk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumai mmeamka salama wapendwa, Naomba kuuliza kusimama kwa uume wa mtoto mdogo kwa muda mrefu kunakoambatana na maumivu makali kunasababishwa nini ? naombeni msaada wenu kama kuna mtu mwenye...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Haya tena kama una tatizo la nguvu za kiume na heshima inakaribia kuisha huko nyumbani hebu tuwasiliane. Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume ile yenyewe kabisa. Ni dawa ya mitishamba katika...
4 Reactions
127 Replies
29K Views
jamani habari za leo. kuna kitu kinanichanganya naomba mnisaidie. hivi kwa mwanamke ni upi wakati ambao ni muafaka kwa kupata ujauzito? je siku kadhaa kabla ya kuwa kwenye siku zake yani mp au ni...
0 Reactions
2 Replies
851 Views
habarin wana jamvi, kwa mwanamke ambaye mara ya mwisho kuona hedhi ilikuwa ni tarehe 17/4 Je mpaka tareh 17/9 ujauzito utakuwa na wiki ngap coz naona nachanganywa
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Nina tatizo la vidude vimenitoka kwenye uume, awali nilikuwa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu nachubuka kwenye shina la uume imeendelea kuwa hivyo kwa muda. Kwa sasa nipo mbali na...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari zenu wanajukwaa.
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Peace and Love all rastafrie, jamani kwa mwenye utaalamu wa suala hili anisaidie.Hivi kwanini mtu ukivuta bangi bila kuichanganya na sigara huwa unasikia kama mishipa ya kichwa inauma lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Menya vitunguu swaumu punje 5, ponda na changanya na maji ujazo wa birauli moja kunywa kutwa x3. kwa siku saba, safisha kinywa kwa maziwa fresh kutoaharufu mdomoni Angarizo tumi chombo ambacho si...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Eti kwa mtu anayrmepaswa ku supplment somo moja mfano surgery angali ana GPA ya 3.28/4.0. Je, ataweza kupewa cheti bila ku suppliments!! Naomben msaada kwa hilo
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Back
Top Bottom