Mke wangu alichunguzwa akaambiwa ana Endometritis akapewa sylate tabs 1x1 kwa siku 5 na cifran CT 1x2 kwa siku kumi ila tatizo halijaisha.
Mke wangu alikuwa akiona damu siku 3 ya 4 anakauka ila...
Salama wana JF, napenda kujua ni kwa nini tunapiga mihayo kisayansi. Na ina faida gani kwa anayepiga mihayo kwenye mwili wake? Najua ni tendo lisilo hiari, but why?
Jamani ndugu zangu nisaidieni.Paka amenikwangua kwa kutumia kucha zake damu imevuja sana sielewi nifanye nini maana nmewai kusikia kwamba Paka Ana sumu
Naomba msaada wadau wa afya ktk hili jambo.
Kuna ndugu yangu wa kike alikwenda hospital moja manzese na kupima HIV.
Majibu yakatoka positive, lakini aliyempima akamwambia akapime sehemu nyingine...
Niko Arusha. Mamaangu alisafishwa kizazi 2001,na 2010 akawa anaanahisi maumivu ya tumbo chini ya kitovu. Akaenda kupima Seliani,akaambiwa anakidonda kwenye mfuko wa kizazi.
Akapewa dawa...
Jamani msaada wenu tafadhali.
NJana nilienda saloon kunyoa,sasa jamaa mashine yake ni kali mno na kwa bahati mbaya akanikata sehemu kubwa kidogo.
Nikamuuliza mtu wa kwanza kunyolewa ni yupi...
Habari zenu ndugu.
Mimi nataka kujua hiki kitu. Nimesikia wadada wawili wakiongea hapa nikaapo (nimepanga chumba) kuwa mmoja wa marafiki wa hao madada alifungaga mimba isikue.
Yaani alipokuwa...
Kwanza nianze kuwapongeza kwa ubunifu huu wenye tija, Sikujua kama kuna kitu kizuri kama hiki cha JF DOCTORS asanteni sana.
Yupo mdogo wangu muda huu anastress na ningependa tumsaidie.
Mke wake...
Wakuu mwanamke anaweza kupata mimba muda gan baada ya kujifungua ikiwa haoni siku zake?
Kuna uwezekano wa kupata mimba ukiwa hujaingia kwenye siku zako?
Natafuta dawa ya vichomi. Nauguliwa na mzee wangu vichomi (60+ years old). Mzee amefanyiwa vipimo kadha wa kadha hospital ili kubaini chanzo cha vichomi vinavyomsumbua.
Daktari amebaini ni...
Kabla sijaanza mazoezi nilikuwa na kilo 84 lakini cha kushangaza jana nimepima nimekuwa na kilo 85.5. Huwa nazunguka uwanja mara 15 na mazoezi ya viungo na kucheza mpira kila asubuhi lakni unene...
Wanajamvi naomba mawazo na ushauri wenu,
Nina mdogo wangu alichaguliwa kwenda masomoni tarehe 15/11/2013, hivyo ilibidi amuache mke nyumbani, ilipofika tarehe 25/06/2014 mdogo alitumiwa ujumbe...
mara nyingi nimeshuhudia wauzaji wa karanga wakipitisha mbili na za kukaanga na wengine mbichi na za kuchemsha na watu wengi hukimbilia za kukaanga/kuchemsha
Nini umuhimu wa kila moja kwa...
mwanzon tulijua ni vidonda vya tumbo ila sasa amepima tena ameambiwa ana tatzo la mgongo ambapo anatakiwa apimwe zaid na kipimo cha MRI ambacho ni gharama mno. kama kuna dr mtaalam wa haya plzz...
Taking cold showers: a trend on the rise
Taking a cold shower every day is beneficial in many ways, according to health and fitness experts.
Taking a cold shower is usually seen as some kind of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.