Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

......
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wana jf naomba tumshauri huyu kijana.Ana umri wa miaka 20 ana tatzo la uso kama mzee hali hii inajitokeza akitembea juan au wakat wowote uso ujikunja ,akiinamisha uso chn misuri ya uso...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu wa mawazo wana jamii, Nina girlfriend wangu ni mjamzito lakini mazingira ambayo ananiambia kuwa ana ujauzito ni tata,kwa maana kaanza period tarehe 13/8 na kumaliza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jaman kama headn ilivyo.... naomben mchango wenu
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Kuna taarifa kuwa Penis Ring inasaidia kwa wale ambao wana upungufu wa nguvu za kiume kwa kuzuilia damu isitoke kwenye ----- na hivo mtu kudisa kwa muda mrefu. Njia hii imekuwa msaada kwa wengi...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
jaman kama heasin ilivyo.... naomben mchango wenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natokwa na jasho jingi kwapani wakati wote,naomba ushauri nifanyeje halitoa harufu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natokwa na jasho jingi kwapani wakati wote,naomba ushauri nifanyeje halitoa harufu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By Joanita Tushabe and Francis Kagolo A new report by the Uganda AIDS Commission has revealed that the supply of condoms falls 45% short of the country’s need. On the other hand, the report...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Habari wa jf, samahani naomba kuelekezwa kwa hapa dar nitapata wapi BAKING SODA?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna wanandoa waliokaa karibu miaka minne bila kupata mtoto iliyopelekea kugombana na kuachana lakini baada ya kila mtu kushika njia yake,yule dada alifanikiwa kupata ujauzito/mtoto na yule kaka...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
kubleach meno kwa dentist tanzania ni tsh ngapi na effects zake ni zipi?
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Hapa Dar kuna sehemu nyingi tu ambapo juisi ya miwa inatengenezwa. Mazingira ya utengenezaji yanatishia usalama wa afya za watumiaji. Kiukweli ni kuna uchafu mwinngi kwenye maandalizi ya hii...
2 Reactions
39 Replies
12K Views
Wapendwa, naomba mwenye kunisaidia juu ya hili, mke wangu anatokwa na maji meupe mazito yenye rangi ya maziwa yasiyokuwa na harufu ukeni. Naomba kujua ni tatizo? Na kama ni tatizo basi ni tatizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji msaada wa tiba,nasumbuliwa na kichomi mara kwa mara pindi hali ya hewa inapobadirika na kuwa na ubaridi ubaridi basi kichomi kinanisumbua sana hata kuinama siwezi kwa mda wa masaa 4...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zeni wakuu, nina jirani yangu ana mtoto wa kiume ana umri 11, ni mnene uzito wake kilo 45, hali hii unampa wasi mzazi, jee njia ipi nzuri, ya kupunguza unene na uzito wa huyu kijana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu zangu,kuna wifi yangu amekuja kunitembelea amekunywa dompo akachanganya na konyagi sijui kama kuna vingine maana hizo ndo naziona.amelewa sana mpaka amezimia.mim si mnywaj so, sijui hata...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Mimi nina tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye muwasho ni mwaka wa 12. Sasa toka tatizo hili linipate nimeshahudhuria hospitali, nimetumia dawa nyingi sana sindano ndio usiseme lakini huo...
0 Reactions
53 Replies
46K Views
Msaada rafiki yangu kanipigia simu analia alibreed tar 3-6 mwezi wa 8 akiwa Dodoma tar 7 na 8 akafanya mapenzi bila kinga mpenzi wake akamwaga ndani..leo hii tar 10 mwez wa 9 hajaona siku zake na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom