Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wana JF, Salaam, Nimelazimika kuileta makala hii ambayo ilichapishwa ukurasa wa 10 wa Gazeti la Mwananchi la Septemba 5 baada ya kupokea simu na meseji nyingi zikiniuliza ni aina gani ya Dawa ya...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu hili tatizo niko nalo kwa muda mrefu sana nasikia maumivu kama ya kiungulia kwenye moyo na nilifanya kipimo cha ECG pale Lugalo wakaniambia ni kutokana na vidonda vya tumbo,but these days...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani naomben ushauri mm kijana mwanaume nina mwanya ambao siupendi naweza kwenda kwa wataalam wa meno(dentist) ili wanipachike jino la bandia????
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hili tatizo linasababishwa na nini na nini tiba yake.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakati tukipata chakula cha jioni ghafla mke wangu niliona anaishiwa nguvu na kunilalia nikajiuliza sina cha kufanya. Kutoka na kuzimia niliamua kuanza kumpepea na baadaye amepata nafuu japo si...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
jaman kuna dawa ya kufuta alama za kukatwa wembe sehemu za usoni hapo zaman? niliwai kusikia kuna dawa ya kuzifuta alama hizo kama ndo zinakauka tu!
0 Reactions
8 Replies
17K Views
Wana jf wanaojua nina rafiki yangu ana ka ujauzito ka wiki 3 hata mwezi hakana, ila ana u.t.i sasa doctor kamwandikua powercef 1 gram od. Yan kila siku achome sindano ya gram moja kwa siku tano...
0 Reactions
3 Replies
16K Views
Jamani naomba kuuliza kuna athali kwa uvutaji bangi wa mara chache tu..mimi huwa navutaga bangi nikiwa na metch adimu sana..sasa vipi naweza pata madhara gani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nahitaji kusahidiwa kujua gharama ya ku crown meno/jino kwa hapa tanzania and how long wiil it last long:angry::angry:
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar zenu wanandugu mimi mwenzenu nina tatizo moja la kulala kupitiliza yan bila break mfano siku za weekend ambazo sina kazi huwa nazitumia kulala tu mpaka najiuliza naumw ama vp? Nkilala saa 6...
2 Reactions
24 Replies
12K Views
Kidonda kwenye mwili wa binadamu huchukua muda mrefu kupona kwa sababu hakuna kitu cha kuondoa nyama iliyooza kwenye kidonda hicho. Kwa kawaida daktari wa kidonda husafisha/hukwangua kidonda hicho...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Ukifuata hii menu ninafikiri hutoweza tena kuumwa maradhi yoyote yale. Kitunguusaumu. Asali Na kila siku kula punje moja ya kitunguusaumu kabla ya kula kitu na uwe unakunywa asali kijiko...
15 Reactions
24 Replies
6K Views
Garlic is often a very common addition to a number of dishes. Right from adding a zing to bread to being a major flavouring agent in biriyanis, those pungent, white blubs of flavour lend a very...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wapendwa, Jana nimeamka vzuri nkaenda kazini, nilivyorudi nikapata msosi wa mchana alafu nikaenda sehemu kusafisha nyumba kuna mtu anataka kuhamia, so kule nilikutana na vumbi...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Juzi mchana ameanza kuona damu kama zinabeep ilitoka mara moja ikatoka tena jana hasubuhi. Je inawezeka mimba imeharibika?? Pia anasikia maumivu ya makali ya kiuno, tumbo pamoja na matiti...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wakuu, Kama unasumbuliwa au una ndugu au rafiki anasumbuliwa na ugonjwa wa Moyo na matatizo mengine katika Moyo kama vile moyo kuwa mkubwa, moyo kuwa mdogo, moyo kuwa mpana, mafuta mengi katika...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari. Mi ni mkazi wa Dar es salaam. Nina meno mawili ya juu mabovu (moja incisor na lingine linalofuata kwenda ndani baada ya hilo incisor), yametoboka. Nimewahi kuwa na meno mengine mawili...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Salamaleko? Kama kichwa cha thread kinavyouliza; kifua cha mwanaume kina nyonyo mbili ambazo kwangu naona kama ni kiungo redundant. Kwani nyonyo zina kazi gani ktk chest ya dume? I 'm...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
KULINGANA na Hazina ya Umoja wa Mataifa ya Idadi ya Watu, zaidi ya wanawake nusu milioni hufa kila mwaka kutokana na matatizo yanayohusiana na mimba. Isitoshe, Shirika la Umoja wa Mataifa la...
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Back
Top Bottom