Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni kujua njia ztazo nifikisha kua dactar kutoka clinical assistant
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Asalaam wana Jf, tafadhali naomba mnisaidie kufaham vyakula, matunda au vinywaji vinavyoweza kusaidia kusafisha figo kwani mara kwa mara nikipima mkojo naambiwa kuna protini nyingi hivyo kuashiria...
0 Reactions
3 Replies
14K Views
habarini wanajamvi...wandugu naomba msaada kwa anayejua psychologist wa kuaminika hapa dar anayeweza kunisaidia tatizo langu...tatizo langu ni kwamba siku hizi nawahi sana kukojoa ktk kujamiiana...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
tatizo limeanza kama wiki moja na siku tano zilizopita, nilikua nikikojoa naskia maumivu kwa mbali, nikajua hii ni UTI tu, nikaenda kupima nikaambiwa sina UTI.... kesho yake asubuhi nikiwa...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Naomba niulize, kuna madhara yoyote anayoyapata mnywaji wa bia hususani safari lager tofauti na bia nyingine?
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari zenu, Kutokana na huu upepo kuvuma kwa kasi sana hili swali likanijia kichwani, HIVI KUNA KIPIMO CHA KUJUA KAMA MWANAUME ALISHAWAI KUFANYA AU KUFANYIWA KINYUME NA MAUMBILE? ili wapenzi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nina matatizo ya kiafya ya mifupa ya uti wa mgongo na sehemu za mabega. Tangu mwezi wa 12/2013, mara baada ya kupata ajari. Mwezi wa 8/2014 nimeomba uhamisho ili kuwa karibu na huduma za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari zenu, Mimi nilikuwa na mpenzi wangu sasa baada ya kuwa na kwa takriban mwezi mmoja tukiwa wapenzi tukaamua kwenda kupima bahati mbaya mwenzangu alikutwa ana maambukizi na tayari...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF! Kuna kitu kinanitatiza mpaka nashindwa kuelewa nini hasa kinanisibu! kwa kawaida ninavojua mimi mwanaume yeyote akiamka asubuhi uume huwa unasimama, sasa mimi hata nikiwa...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wote tunajua malaria ni hatari na ni moja ya magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo hasa kwa watoto wadogo na mama wajawazito.- Na pia unajua njia kuu ya maambukizi ya ugonjwa huu ni kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau , mke wangu anasumbuliwa na maumivu ya mishipa ya kinena tangu alipojifungua je tatizo ni nini wadau manake kila Mara asubuhi ya alfajiri inamsumbua Sent from my BlackBerry 8520...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Jamaa yangu ana ugonjwa wa sukari, bp na moyo umekuwa mkubwa, ni vyakula gani anatakiwa ale na ni vipi hatakiwi ale?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari waugwana. Hivi karibuni nimepata tatizo la kiafya kuna ugonjwa unaitwa ALOPECIA AREATA ambao umenikumba na ugonjwa huu unasababisha baadhi ya sehemu kichwani kutoota Nywele. Baada ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Angalia ramani ya Dunia na uone kiini cha Ebola
0 Reactions
0 Replies
847 Views
The re-arranged skeleton of a foetus believed to have been inside a woman for 36 years is pictured at the hospital in Nagpur. Doctors in India have removed the skeleton of a foetus that had...
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Jamani wanajamvi ,Kwa yeyote anayejua ukweli kuhusu hawa wataalam wa mtaani waliozagaa Masokoni na kila mahali mitaani anijuze .Wanapima kwa utaratibu ufuatao: (1) Kipimo kinawekwa kwenye kidole...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Dada yangu anatatizo la macho kuvimba hadi kufunga macho pindi aamkapo asubuhi ikiambatana na kichwa kuuma, na shingo akinawa na maji ya chai au vuguvugu na chumv kidogo yana poa hili ni tatizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeenda kupima malaria wakatumia kipimo kipya MRDT wakasema hakuna kitu lakn dalili zote zipo nimerudi kwa BS (microscope) ikaonekana ipo. Hivi vipimo havina uhakika au inakuwaje?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimeuliza kutaka kujua tu wapendwa. Hivi ni kwaninii mtu anajikuna kuna mechanism gani mwilini ama imechafuka inaitaji kukunwa ama ..... Na kuna kitu ama msemo sikuhizi mtu akikukasirisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom