Wakuu hii habari si mpya hapa jamvini na serikali inatambua kuwapo na ugonjwa huu lakini kinachosikitisha hakuna hatua zozote za kujihami zilizochukuliwa hususani mipakani na viwanja vya ndege...
Wana jf habar zenu natumai mmeamka salama,
Jaman me nilianza period tarehe1 mwezi huu nikaenda siku 4 around tarehe13,15 na 16 i had sex tarehe17 nikameza dawa za malaria.
Sasa jana trh 20...
Mtoto wa miaka miwili na nusu anatatizo la allergy ya protein hasa maziwa, mwili unavimba na matokeo yake anajikuna na kusababisha vidonda. Madaktari wameshaonwa lakini bado tatizo lipo.
Hii ni aina ya saratani inayokumba tezi ya thyroid. Ikumbukwe kuwa tezi ya thyroid ipo sehemu ya mbele ya shingo ya mwanadamu ikiwa na sehemu mbili (lobes) moja kila upande wa shingo.
Visababishi...
Heshima wakuu; Nina mzee jirani yangu mwenye umri karibu miaka 70 sasa. Amepata tatizo la kutoka damu wakati wa haja ndogo hasa anapomaliza. Vipimo vya mkojo na hata kichocho vimeonyesha negative...
Samahani wadau. Kuna dawa inaitwa bromocriptine tab 2.5mg mwenye kujua inapatikana pharmacy ipi anijulishe maana nimeulizia kwenye pharmacy nyingi bila mafunikio. Asanteni.
Tahadhari Dawa ya Mswaki ya aina ya Colgate ni mbaya kimatumizi inaweza kukuletea Maradhi ya Saratani kwenye mdomo wako ukitumia.
The toothpaste you're using may be linked to cancer-cell...
Habari za asubuhi wakubwa?
Wiki iliyopita nilileta dawa ya mtu aliyeathirika na punyeto ambayo nilifundishwa na marehemu babu vile vile aliniambia tena mjukuu wangu kama imetokea kwa bahati mbaya...
Bamia
Na Maimuna Kubegeya, Mwananchi
KWA UFUPI
Mtandao wa healthandcure.com unawanukuu wataalamu wa afya wakieleza kuwa watu wanaosumbuliwa na maradhi kadha wa kadha ya mfumo wa chakula kama...
Mimi ni mtumiaji wa vinywaji vya aina nyingi vinavyolewesha kama bia, wine, whisk nk japo siko addicted, ila swali nalojiuliza ni kwamba how does this alcoholism work kwenye ubongo wa binadamu...
Kuna watu wamekuwa wakipotosha ukweli kwamba ngono inachosha mwili na pia inafupisha siku za kuwepo duniani. Watu ambao ni mabikira wana furaha zaidi hapa duniani kuliko mtu yeyote yule na huishi...
Wanajamvi! Kuna tatizo naomba mnisaidie.
Kuna tatizo lilianza tangu mwaka 2010, miguu ilikuwa inasumbua. Kwenda Hospitali ya Peramiho wakasema Muhimbili ndo wakafanye utafiti zaidi. Nilipuuza kwa...
habari zenu wapendwa, n kwa muda mrefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo ya kichwa kuuma sana yan haiwezi kupita siku mbili pasipo kuumwa kichwa na dawa za maumivu zimekuwa ni kama chakula...
Madaktari wawili raia wa marekani waliokuwa wakitoa huduma katika nchi za africa magharibi na kuambukizwa ebola...sasa wapona baada ya kutumia dawa ya majaribio na kuua virusi vyote vya homa ya...
Wana Jf habari za jumapili?
Kwanza kabisa naanza kwa kutoa pongezi kwa Jamiiforum Doctors kwa kazi nzuri za ushauri na msaada wa kitalaam mnaoutoa kwenye hili jukwaa.
Mimi nina sumbuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.