Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jamani naomba mnisaidie wengi wamekuwepo kuomba ushauri juu ya kupunguza kitambia mimi nataka ushauri nifanyeje niweze kupata kitambi....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokwa na vijipu ni dalili ya ugonjwa gani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
asalam aleykum! . . . . . naomba ushauri nifanyaje na tatizo: with regards!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jf habari za majukumu. Jaman kuna rafiki yangu amepatwa na tatizo la overbleeding tatizo hilo mpaka kufikia leo ni siku ya 14 amesha muona daktari lakini tatizo bado linaendelea imefikia hatua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni msaada demu wangu week ya pili sasa no sign of biological salary nshampima hana mimba wiki mbili ni kawaida hii or what cause.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
habarini za leo magreat thinker.... huwa wanasemaga no research...no right to speak ingawa haijathibitishwa kwamba sample space au data collection iwe na ukubwa saizi gani... kupitia...
1 Reactions
25 Replies
14K Views
So, je uko salama, je dawa ya meno unayotumia haina kiambata hiki kinachosababisha cancer. By the way, Colgate walifanya utafiti miaka kumi ku-develop hiyo ingredient, na wakaiingiza kwenye dawa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mwili wangu unachoka sana ata nisipofanya kazi yeyote! naweza kaa nyumbani ata siku tatu sifanyi chochote lakini ikifika mda wa kulala kweli unakua kama nilifanya kazi kweli, nachoka sanaa...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Kuna wakati unakuwa una mawazo mengi hata wengine wanadhani kuondoa mawazo hayo ni kutumia pombe au mawada ya kulevya kama bangi, Hiyo sio njia sahihi kwani utaongeza mawazo zaidi baada ya kufanya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari za sa hizi??hv nini dawa ya vipele chini ya kichogo??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kujua dalili na jinsi kujikinga na ugonjwa wa Ebola nimeanza kupata hofu baada ya kusikia kasi ya kusambaa Africa Magharibi na kusikia kuwa hakuna tiba wala dawa ya ugonjwa huo
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ndugu zanguni ninatatizo la tremor. na hii ipo sana mikononii na miguuni, nimepewa neurobin naendelea nazo kila siku sina matokeo. nisaidieni nishaurini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa. Nimeugua tumbo chini ya kitovu toka mwaka Jana august .kila nikienda hospitali naambiwa uti , nimepimwa magonjwa ya zinaa hayakuonekana, ukimwi hakuna, na kansa ya kizazi hakuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Fortunes from foreskin According to World Health Organisation estimates, 30 per cent of the world males are circumcised— 70 per cent of them being Muslim. After reports released by UNAids and...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Plz jf doctor naomba kujuzwa madhara yatokanayo na ulaji wa wali kwani wengine wanadai unasababisha ugonjwa wa kirukari kutokana na sugar content yake.
0 Reactions
0 Replies
13K Views
Hivi kuna uwezekano wa mwanamke siku zake za hedhi kama inaanza tarehe 28 na mwisho tarehe 2..je kuna uwezekano wa tarehe husika kufika na hedhi isianze mpaka wiki 2 au 3 zaidi..naombeni...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Habari, naombeni kujua ni hospitali gani hapa mjini Dar es salaam naweza kupata vipimo vya hormones, (vipimo hivi TESTOSTERONE, FSH, LH & PROLACTINE) kwa kutumia bima ya afya ya NHIF. asanteni.
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Scientists are just beginning to recognize the amount of "viral chatter" that is occurring worldwide, discovering previously unknown pathogens in humans that sporadically make the jump from...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Jamani nahitahiji kujua haya maji ya alovera na ya muarobaini yanatibu nini
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NIMEITOA SABABU YA ONGEZEKO LA WATOTO WANAOZALIWA KWA NJIA ZISIZO ZA ASILI « ManyandaHealthy™ Published by SAYI MANYANDA on Tuesday, August 12, 2014 | No comments...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Back
Top Bottom