Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari madocta nina maswali mawili nataka kuwaulizaa 1. ivi ni inachukua mda gani kujigundua kama wewe umeathirika utaona dalili zipi 2. na ukifanya mapenzi na mwanaume ukiwa siku za hatari za...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Wakubwa naomba kuelekezwa hospitali yenye Madoctor wazuri wa kutahiri watoto wadogo na gharama zake kwa DSM, dogo ana miezi 4.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
HI ALL, Sisi wakatoliki kabla ya kwenda kanisani huwa tunapewa angalau kwa ufupi semina ya siku mbili na baada ya hapo huwa tunashauriwa kuhudhuria semina zozote zile zinazo...
0 Reactions
20 Replies
43K Views
Kwa wataalamu, kama mwanaume ni rijali na hormose zake zipo sawa ila tatizo tu ni kiwanda kimesimamisha uzalishaji wa mbegu za kiume nini tiba yake? utaamshaje kiwanda kianze kazi tena. Historia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna wakorea ambao wanatibu maradhi mengi sana kwa kutumia mazoezi pamoja na mashine za umeme hapo mwenge karibu na ITV mama yangu anaenda huko kila siku. Hua namsikiliza kwa makini sana kuhusu...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Hapa mjini tarime mkoani mara kuna kituo kimoja kinachojishugulisha na huduma za maabara kipo hapa mjini kati. swali langu kwenu wadau wa afya ni hili nilienda kupima malaria utakuta kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni takrribani miaka 7 ilipopita nlipoanza kujichua almaarufu kama "Punyeto" mpaka sasa sioni dalili za kuachana na hili janga. Naombeni ushauri wana JF.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanajf,nasumbuliwa na vitu hivyo, mwenye uzoefu wa matatizo hayo au kujua chanzo cha matatizo kama hayo aje hapa.Mbarikiwe sana.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Source: Kumi Muhimu Blog. 1.Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora! 2.Huzuia meno kuoza, na ni tiba nzuri kwa wagonjwa...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Hi jf ndugu yangu mpnz wake ni mjamzito, leo ameenda clinic wamemchukua HIV test akambiwa hana maambukizi na pia VDRL (test for syphilis) akakuta, Kwenye card ya clinic kandikiwa PMTCT 2, VDRL...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wasalaam Mimi ni binti ambaye nina ndevu kidevuni na nimeomba ushauri ushauri jinsi ya kuzuia na kuondoa kabisa ndevu kuota nimeambiwa nitafute damu ya chura kisha nipake damu hiyo kidevuni baada...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hernia na ni moja ya vijana wanaopanda mlima kilimanjaro, nimekutana nae akaniomba ushauri kwani kuna wangine wanamwambia ana hatari ya kifo,wengine anadai walifikia hatua ya kutaka aachane na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wana JF jaman wenye uzoefu naomba mnisaidie mtoto wangu wa miezi tisa yeye anapenda maziwa tu ukimpa vyakula vingine hataki hata kidogo anajitapisha chote naombeni msaada maana maziwa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu za mchana mwema. Pua yangu imekua inakauka mda mrefu sasa. Yaan inatoa magamba juu ya ngozi na nikiwa na mafua ndio kabisaa. Naomba kujuzwa dawa gan nitumie kwa ambao wana uwelewa wa jambo hili.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Week nzima nimekuwa nalala saa 10 asubuhi, na mchana nakuwa fit sina usingizi. Naombeni mwenye kujua ufumbuzi wa tatizo langu anipe msaada. Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari za ahsubuhi ndugu wa jf naomba msaada jamani,mama yangu ni diabetic mellitus kwa mkaka 12 sasa na kwa sasa amepata Eyes problems yaani Haoni mbele also Ana high blood pressure ina range...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
This question was asked by Jaluo_Nyeupe in another thread. It worth posting as a new thread...! Male Circumcision (MC) [Tohara kwa Wanaume], and when is is performed to the young male infants it...
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Hapa nilipo nakisikia maumivu wakati wakukojoa ,,na wakati mwingine mkojo ukitoka unakuwa umechanganyika na damu .
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ndg zangu, Nahitaji kujua kama kuna madhara yoyote kutahiri ukiwa na umri kuanzia miaka 16- Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watafiti wakitoa sampuli za damu kutoka kwa sokwe mtu katika utafiti wa Ukimwi huko Gabon. Picha ya Mtandao KWA UFUPI Utafiti mpya waonyesha uwezo mkubwa wa kuangamiza kirusi, kukiua na...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Back
Top Bottom