Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Toka jana mtoto wangu wa miaka 2 na nusu ameonesha dalili ya malaria na kupima ikaonekana ana malaria 3. Huwa hata sijui hii namba ina maanisha nini..anyway! Tatizo ni kuwa majira ya saa8 hii...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Mimi ni mdada nina mpenzi tunapendana sana ila tunatumia condom ila mimi nahitaji mtoto hata kwa kumlea mimi, kama mimije nifanyeje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
msaada..kila ninapokula nyama kwa wingi lazima tumbo livuruge..iwe ya ng'ombe,mbuzi ama kuku,bata lazima nitaharisha ila nikila kama vipande viwil ama vitatu siharishi...je nitakuwa na tatizo gani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Married Chinese man suffering from stomach ache goes to the doctor and learns he is actually a female The man went to his doctor in China complaining of severe stomach ache Doctors discovered a...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Heart Attacks And Hot Water A very good article which takes two minutes to read. I'm sending this to persons I care about........I hope you do too!!! Heart Attacks And Drinking Warm Water...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
JANGA LA KITAIFA WAZEE KWA VIJANA ****************** 💥ERECTILE DYSFUNCTION (ED)/ UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.... 💥SABABU *Kuna sababu nyingi hupelekea tatizo...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mi ni mwanaume miaka 35 naomben ushaur mke wangu kila akibeba mimba znatoka ni mara 4 ss zimetoka na kuhatarisha maisha yake. Ila pia hata nikimpa mimba mwanamke mwingine nazo znatoka tu ni zaid...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimepata kusikia kwa watu mbalimbali kwamba mkojo wako wa asubuhi eti ni dawa? Na wanadai kwamba ni mkojo wa asb kable hujakojoa. Unakojoa kidogo then unaofuata unakinga kama glass moja unakunywa...
1 Reactions
12 Replies
22K Views
Wanajamvi, poleni kwa majukumu.Kuna mtoto wa kiume wa shemeji yangu mwenye umri wa miaka minne na ushei,ana tabia ya kunusa nepi iliyotumika(yaani si mpya) ili aweze kupata usingizi. Usiku...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
JANGA LA KITAIFA WAZEE KWA VIJANA ERECTILE DYSFUNCTION (ED)/ UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.... SABABU *Kuna sababu nyingi hupelekea tatizo hilo kwa wanaume ikiwemo:- -Aina ya vyakula( junk food na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Man: My penis was mistakenly amputated - CNN.com Video hospitali yenyewe Princeton Baptist Medical Center A man by the name Banks and his wife filed the lawsuit this week against Drs. Vincent...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
JOB OPPORTUNITIES ALLIANCE MEDICAL CENTER ANNOUNCES THE FOLLOWING FULL TIME JOB VACANCIES: FLUENT IN ENGLISH SPEAKING GENERAL PRACTITIONER (MD); 1 Post Holder of Doctor of medicine degree (MD) or...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
HURUMA!!! Usishuke chini bila kushare, kulike na comment neno AMEN au AMINA ili ndugu na jamaa waweze kumsaidia mtoto huyu!! Ndugu watanzania wenzangu naomba kuungana nanyi kwa hali na mali...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
JOB OPPORTUNITIES ALLIANCE MEDICAL CENTER ANNOUNCES THE FOLLOWING FULL TIME JOB VACANCIES: FLUENT IN ENGLISH SPEAKING GENERAL PRACTITIONER (MD); 1 Post Holder of Doctor of medicine degree (MD) or...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
OMEGA 3 SALMOIN OIL PLUS ****************** WHY omega 3 salmon oil?! *Binadamu huitaji kiwango kidogo tu cha mafuta ila wengi wetu hula zaidi. Tunahitaji 1g tu ya mafuta kwa siku ila wengine...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari Za Asubuhi. Nina Mdogo Wangu Ana Uvimbe Mkubwa Kwenye Paja Kwa Juu Karibia Na Makende. Uvimbe Huu Hua Unajirudia Rudia Ameshafanyiwa Operation Mara 2 Lakin Baada Ya Muda Kama Miez 3 Na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Leo nimeambiwa na daktari Kuwa sina damu ya kutosha wakati Mimi ninajiona niko sawa Kabisa; je tatizo linaweza Kuwa ni nini? Ninaomba ufafanuzi wa kitaalamu Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Tohara kwa jinsia ya kiume ina faida zifuatazo kiafya Inarahisisha kusafisha uume Inapunguza uwewezekano wa kupata maambukizi ya njia ya mkojo Inapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya zinaa...
0 Reactions
6 Replies
17K Views
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mr. Chen, mwanandoa mwenye umri wa miaka 44 na mkazi wa Zhejiang, nchini China, amegundulika kuwa alikuwa katika siku zake kama inavyokuwa kwa wanawake kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wa jukwaa letu la JF doctors? Jamani nimekata tamaa ya kupona macho, nimetembea kwenye hospital nyingi tu naambiwa hawaoni tatizo wananipa tu ushauri wa kula vyakula na matunda na pia...
0 Reactions
67 Replies
9K Views
Back
Top Bottom