Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

First condom designed to kill HIV 'could be available to buy within months' The VivaGel condom is the brainchild of Australian bio-tech firm Starpharma Gel in lubricant found to be 99.9%...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hospitali Teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi Uuzaji wa damu ya binadamu kwa nia ya kujipatia kipato umeshika kasi nchini na baadhi ya hospitali imethibitika kuwa biashara hiyo inawapatia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Heshima kwenu! Nilikuwa na tatizo la kukosa hamu ya kula kwa miaka zaidi ya Saba nimetumia Dawa za minyoo, nimetumia viyamini B Lakini sikupata unafuu wowote. miezi mitatu iliyopita nilienda...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumai hamjambo wandugu, Kabla ya Bunge la Bajeti kuanza, kuliibuka khabari za huu ugonjwa wa Dengu, lakini sasa imekuwa kimyaaaaaaa, Ukimya huu unaashiria nini? Updates tafadhari.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
​ Wakazi wa Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, wamelalamikia Hospitali ya Wilaya hiyo kwa kutokuwa na huduma za X-ray, hivyo kuwalazimu kwenda katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mtu anahisi na kujisikia ana malaria anakwenda kupima. Akirudi unamsikia akisema:Nimekutwa na malaria 4 Mwingine utamsikia akisema:Mie nilipima nikakutwa na malaria 5 Naomba kuelimishwa, hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilitaka kufahamu kwanin meno huwa na uchafu kama kutu ndan ya meno
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu tunaomba kujuzwa udi nadi ni nini na kazi yake nini ktk tiba na majina yake mengine kama yapo
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Nina tatizo la kuwashwa sehemu ya haja kubwa japo baadhi ya muda co muda wote . Nimekwisha tumia dawa za hosptl still problem persist for any wth help plz may you advice me wht to lauch.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi,Have u heard? Cancer of the vagina is all over please avoid washing your vagina with soap, water alone is enough. There is a particular chemical in soap generally that is very dangerous and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
PARIS - The monkey version of HIV can take refuge from anti-AIDS drugs within days of entering the body, a study said Sunday, dampening hopes for a human cure. If the same holds true for human...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Health Benefits of Mango : Mangoes contain phenols, this phenolic compound have powerful antioxidant and anticancer abilities. Mango is high in iron, pregnant women and people with anemia are...
1 Reactions
6 Replies
21K Views
Wakuu heshima yenu, Mimi mwenzenu nimeoa ila mke wangu hana hamu ya tendo la ndoa na mimi hashiki ipo juu sana kiasi kwamba kila siku asubuhi na jioni nikipewa nafurahia tu. Toka nimeoa...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Almost everyone loves to eat junk food. We love our health and healthy food choices, but junk food will always be a tough temptation to get over. Due to the taste, the ease of availability and...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau naomba mwenye uzoefu na dawa hii anipe uzoefu nataka kuichukua maana napata taabu sana. Hawa watu wanajiita herboworx wanajitangaza RFA.
0 Reactions
43 Replies
13K Views
Wakuu naombeni msaada wenu, kwa muda wa miezi mitatu sasa chini ya mgongo nahisi kuwaka moto sijui hili ni tatizo la aina gani nisaidieni.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mtoto wa kiume anawez kuanza kukalishwa akiwa na umri gani?je kuwah kumkalish kunaweza msababishia madhara pindi atakapokuwa kijana?
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Wataalam ninatatizo la uume wangu kuwasha kwa ndani, napia wakatininapo kojoa nasikia maumivu. nina mwezi mmoja tangu tatizo lianze. Nahitaji msaada wenu.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni muda sasa toka pale utafiti ulipofanyika kuhusu uwezo wa kupunguza ueneaji wa virusi vya ukimwi kwa kuongeza idadi ya wanaume waliotahiriwa ikiaminiwa kwamba wanaume waliotahiriwa wana hatari...
1 Reactions
40 Replies
15K Views
Jamani naomba mnijuze sinus infection ni ugonjwa gani huo?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom