Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nilianza kukohoa nikiwa depo mwaka jana, nikapigwa xray lakini baado madaktari wa KCMC wakasema wameshindwa kujua ni nini. Mwaka huu tena imetokea..huwa nikianza kukohoa kawaida mara damu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
We have all heard of ‘Aspirin’! It is one of the most commonly used drugs. But, most of us are unaware of the purpose it serves and the side effects of its overdose. Aspirin, also known as...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada tafashali kwa wajuao hili
0 Reactions
7 Replies
28K Views
Leo asubuhi watoto wangu wawili wanaofuatana wa miaka 6 na 3 wamekunywa mafuta ya taa ambayo yalihifadhiwa chumbani ndani wakidhani ni Maji ya Kunywa yalihifadhiwa, niliwapatia maziwa fresh baada...
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Ni bidhaa inayosaidia mzunguko wa damu uende vizuri kwenye ngozi na kuondoa mafuta yaliyokaa chini ya ngozi kwenye mapaja,mikono na tumbo. Ina, Aloe Bath Gelee~hii ni sabuni ya kuogea yenye aloe...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Content dleted.... Hidden reason
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Jf doctors, Naomba msaada,kila ifikapo baby days naumwa sana tumbo la chini ya kitovu upande wa kushoto na wa kulia,inakuwa kama mirija ina vidonda na kusababisha kiuno chote kuuma. Na...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari,naomba mwenye kumjua daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi nasumbuliwa nimetumia dawa za hospital zimeshindikana Nimeudhuria klinik muhimbili kwa Doctor Mgonda naona akuna maendeleo Sent...
0 Reactions
3 Replies
39K Views
Kulingana na uchunguzi vimelea vinavyosababisha Malaria huweza kuishi mwilini kwa uboho (bone marrow) na kuepuka kinga za mwili na hivyo basi kusababisha maradhi. Uchunguzi huu umedhihirishwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kunywa mvinyo haisaidii afya yako Je umekuwa ukibugia mvinyo ili ili ukusaidie kiafya? Watafiti wanadai kuwa mvinyo mwekundu (Red wine) hauna manufaa kama ilivyodhaniwa kuwa nayo kwa moyo wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijajua nieleze vipi ila kwa ufupi nina sikitika sana kwa uamuzi ulionilazimu kuufanya,baada ya kuwa mmoja wa wale wanaopinga sana utumiaji wa njia za uzazi wa mpango,nami nikawa natumia njia ya...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Jamaa yangu aliniomba ushauri nikashindwa kumjibu tatizo lake ni hili akiwa na mkewe kwenye 6kwa6 hupata goli moja raundi ya pili hushia kuanza na kushia mzee kulaa mwenyewe akiwa kwenye...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu ndugu zangu,ni muda mrefu sana nimekuwa nikisumbuliwa na muwasho usoni,shingoni hadi kifuani na imepelekea ngozi kuwa na mabaka meusi na meupe. Tiba pekee ambayo hunisaidia kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shahawa Uingereza inakabiliwa na upungufu wa Mbegu za kiume hali ambayo huenda ikalazimu kiliniki za matibabu ya uzazi nchini humo kuchukua mbegu duni. Onyo hili limetolewa na shirika la kijamii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A worried woman went to her gynecologist and said: 'Doctor, I have a serious problem and desperately need your help! My baby is not even 1 year old and I'm pregnant again. I don't want kids so...
2 Reactions
3 Replies
819 Views
Baadhi ya watu wanahisi kuwa uchunguzi zaidi unahitajika Tathmini ya utafiti kutoka chuo kikuu cha Exeter nchini Uingereza, inaonyesha kuwa kiwango cha mbegu za uzazi za wanaume huathiriwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna uwezekano kuwa janga la ukimwi huenda likadhibitiwa ifikapo mwaka 2030, kulingana na ripoti iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi. Ripoti hiyo imesema kuwa idadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
50 common signs and symptoms of stress 1. Frequent headaches, jaw clenching or pain 2. Gritting, grinding teeth 3. Stuttering or stammering 4. Tremors, trembling of lips, hands 5...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
WADAU KWA WALE WATAALAM TU,MWANAMKE AFANYE TENDO LA NDOA WAKATI UPI BAADA YA KUJIFUNGUA? naomba msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom