habari zenu wadau, nina mtoto wa mwaka mmoja na miezi saba lakini ni mbishi wa kula chochote, ana ratiba ya milo sita kwa siku lakini sijawahi kumuona akila kwa raha ni kilio tu nifanyeje? Uzito...
Kuna mzee mmoja ameniuliza swali hili lkn nikamwambia sijui,ila nitakujibu nikashajifunza kwa wataalamu,ndo nikaja humu jf,ishu ni kwamba ana muda wa siku 4 sasa kila akijisaidia haja kubwa...
Mama yangu mzazi (70) anasumbuliwa sana na maumivu ya mgongo,miguu kuwaka moto na kuvimba ,mkono upande wa kushoto ,pamoja na kusumbuliwa na shinikizo la juu la damu(si muda waote) Jana tumeenda...
wadau, kuna huu ushuhuda wa kweli. mzee Tibwa( c jina lake halisi) yuko kwenye ndoa miaka 27 ana watoto 8, mke wake ni mwathirika wa ukimwi lakini mzee Tibwa hana ugonjwa wowote aidha alidai...
habari za leo ndugu zangu, mimi nina mtu wangu ansumbuliwa na kichomi asa sehemu za mbavuni je kuna mtu yeyote anayejua tiba mbadala??.... Assnten, mungu awabariki
Habar ndg zangu ....naombeni Msaada kwa anae jua tiba kwa tatizo ninalo pata,,, mm kila nikimaliza kufanya tendo la ndoa na mume wangu tumbo huwa linaniuma kwa muda Kama Dk 10 au robo saa ivi...
Poleni na majukumu wakuu.
Nina mtoto (kike) ana miaka miwili.Tangu azaliwe amekuwa akililia sana.Wakati anazaliwa ilionekana ni kawaida lakini kadri muda unavyoenda ndivyo anavyozidi kulilia bila...
Hii nimeikuta kwenye website fulani ila nimeshindwa kuweka link yake. Hii imesemwa baada ya madaktari zanzibar kufanya utafiti na kuona madhara ya tiba hizo za asili.
Ili kupata taarifa kamili...
Nakumbuka nilipokuwa nasoma somo la lugha ya Kiswahili kulikuwa na misemo (hapa namaanisha nahau, methali, vitendawili na misemo yenyewe) mingi sana inayoambatana kwenye ufundisha wa lugha hii...
habari zenu wanajamvi
mkee wangu anahisi kama kuna vitu vinatembea kutoka chini ukeni kuelekea tumboni
hii inaweza kuwa ni nin? hebu toeni utalaam wenu kidgo
Hello JF Dr, Siku5 zilizopita nilipatwa na jambo linalo nikosesha raha mpaka sasa jaman, ni baada ya kupata choo kilicho ambatana na damu nilishitushwa sana kwa hali ile ila nikajaribu kuuliza...
Wana Jf habari za jumapili?
Kwanza kabisa naanza kwa kutoa pongezi kwa Jamiiforum Doctors kwa kazi nzuri za ushauri na msaada wa kitalaam mnaoutoa kwenye hili jukwaa.
Mimi nina sumbuliwa na...
Nimepatwa na vipere(sundosundo) katika sehemu za siri kwenye ringi ya uume.Ni miaka 4 sasa nimetumia baadhi ya dawa za kuchua sioni mafanikio ya vipere hivyo kutoweka.Nifanye je?
Haya yalinitokea leo, kuna ndugu yangu nimekuwa nikiishi naye kwa muda mrefu, ila mwezi huu wa saba sikuweza kumuona, ghafla leo nikakutana nae, akawa wa kwanza kutaja jina langu, katika...
Matumizi ya cha chuchu bandia zenye jina maarufu la ‘soother' yanaonekana yakishika kasi katika miaka ya karibuni kutoka katika fikra kwamba ni ya familia tajiri hadi kwa jamii ya kipato cha...
WHY TRE.EN.EN?!
*******************
*Binadamu anahitaji kula kiwango kikubwa cha nafaka kamili, mazoez, matunda na mboga mboga, protein kidogo na sukari na mafuta viwe finyu kabisa lakini hali...
Kuna mfanyakazi mwenzangu amenitaka nimsaidie tatizo lake lakini nimeshindwa, nikaona bora nije hapa jamvini nikiamini nitapata chochote cha kumsaidia.
Anapofanya tendo la ndoa huwa anapiga bao...
Tohara kwa jinsia ya kiume ina faida zifuatazo kiafya
Inarahisisha kusafisha uume
Inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya njia ya Mkojo (U.T.I)
Inapunguza uwezekano wa kupata magonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.