Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kutokan na soko huria kumekuwa na sabuni nyingi za kuogea. je, ipi inafaa kwa afya ya ngozi na mwili kwa ujumla?
0 Reactions
13 Replies
17K Views
Na Mwandishi Wetu Imeelezwa kuwa watu wanaotumia redio za simu wako hatarini kupatwa na ugonjwa wa saratani ya sikio na kichwa kutokana na mionzi mikali itokanayo na viselula hivyo. Akizungumza na...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wanajf. Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26,sijawahi kupatwa na tatizo lolote kuhusu nywele,ila tangu juzi nimeshangaa kuona nywele zangu zikipukutika kichwani.Yaani nikizishika tu zinatoka...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Hapa naugulia jino hadi ufizi umevimba.. Naomba kwa hakika kujua asili/chanzo halisi ya/cha kuugua/kuoza meno na kama kuna dawa ya kutibu (sio kutuliza) au lazima kung'oa.. Nisaidieni wenye...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tatizo la kifua kwa muda mrefu linaweza kutibika?wataalam naomba msaada maana kuna mtu anasumbuliwa na kifua toka alipofanyiwa operation ya jicho hadi sasa n miaka 3 kifua kimekuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi wana JF mimi ni mvulana nina vichunusi lakini sio sana hali iliyopelekea nipate madoa meusi na uso wangu kupoteza hali ya usoft.Nataka niwe soft kama mtoto. Nisaidie jamani nifanye nini ili...
0 Reactions
47 Replies
48K Views
Habari wana jf, nina mwanangu alizaliwa sept 2, amekuwa akionyesha hali ya kama anaumwa tumbo kwa kulia lia na wakati mwingine ananyonya halafu anaanza kulia. Wengine wanasema maziwa ya mama yake...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
I am not sure how true this is, but we have sisters, brothers, relatives, neighbours etc... etc... suffering from this deadly disease. Please give a try. HOW I GOT CURED HIV AND SKIN CANCER: HOW...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Naomba msaada wenu katika hili, kila nikitaka kubadilisha mafuta ya kupaka usoni natokewa na harara nimeuliza kwa baadhi ya watu wananambia ni kawaida eti ngozi ikishazoea hayo mafuta...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Ushauri please kwa wale wanaojua.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wa jf naomben tumshauri huyu mtu.Ni kijana mwenye umri wa miaka 20 ana tatzo la ngozi ya uson kujkunja kama mzee amejarbu dawa mbalmbal bla mafankio mwenye kujua chanzo cha tatzo na tiba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni Aina Gani Ya Mafuta Mazuri Ya Kulainisha Ngozi Ya Mwili Wa Binadamu, Na Yanapatikana Wapi Kwa Hapa Dar Es Salaam, Na Bei Gani!
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Naomba kujua ni mafuta gani mazuri kwa ngozi yangu, ngozi yangu siyo kavu na wala haina mafuta mengi. Kwa sasa napaka Nivea Dry Skin, lakini haifanyi ngozi yangu kuwa soft (muonekano mzuri)...
1 Reactions
68 Replies
24K Views
Natokwa na jasho jingi kwapani wakati wote,naomba ushauri nifanyeje halitoa harufu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale wanaosumbuliwa na vipere vya ndevu baada ya kunyoa wanashauriwa kupaka mafuta ya TAA soon baada tu ya kunyoa na upere utapotea kabisa.WENGI IMEWASAIDIA JARIBU NA WEWE
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana Jamvi. Nilikuja na mada hapa ya kuumwa malaria na tyford nashukuru sana kwa walio changia kwa ushauri. Ila kuna dawa nimepata naona inanisaidia sana na kiukweli nimepona na naomba...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hitilafu ya rangi (albinism) husababishwa na mabadiliko hasi katika eneo kinasaba(Gene) kwenye chromosome ya 11; eneo hili hutengeneza kimeng'enyo au catalist (enzyme) iitwayo tyrosinase...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ni ipi dawa nzuri ya maralia wana jf wenzangu?yan nahic hii yan ni clonic sana kwan mwez haupt bila kuumwa maralia,dawa ambazo nimeshajaribu sana ni metacafin,mseto na dawa moja iv inauzwa elf...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
"Heshima kwenu Wakuu" Naomba kujuzwa kuhusu ugonjwa wa Kifua Kikuu. Ikiwa Mme au Mke kapima na kugundulika kua ana TB na kuanza matibabu, je anaweza kumwambukiza mwingine ambae hakua na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar zenu wadau wa JF naombeni msaada wenu mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kilelen mapema nikiwa nasex na mpenz wangu kibaya zaid baada ya hapo sitaman tena kuendelea kufanya...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Back
Top Bottom