Ni ukweli usiopingika asilimia kubwa ya wanawake hawapendi kutumia condom za kike kwa kigezo tu kwamba eti zina usumbufu katika kuzivaa, kwani waliozi-design kwa ajili yenu hawakuliona hilo...
Wadau naombeni kwa anayejua Dawa ya kutibu kuku huu ugonjwa wa kideri,nimekula kuku mpaka nimebloo,kuku wanapukutika kila dakika.nimetumia za madukani nahisi nazo ni wamezichakachua kwani hakuna...
Naomba nitambulishwe kwa nini mtu anapokasirika hutoa sauti ya juu hata kama mtu anayeongea naye yupo karibu naye.
Nimemshuhudia mtu na mkewe ndani wanaongea polepole lakini inapotokea...
KWA UFUPI
Jamii za kimataifa zimegundua kuwa, kuna faida kubwa kama tutaziba pengo la kijinsia lililopo katika masuala ya afya kwa kuwapatia wanawake uhuru ili waweze kuishi maisha ya furaha,...
nilikuw naomba ushauri eti kutafuna mchele kunaweza kunisababishia mim kupata apendix au kifuko cha appendix kujaa? please naomba ushaur coz nimedevelop hii habit ya kutafuna mchele na nashindwa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na ninakorodani moja tatizo hili nilizaliwa nalo.je naweza kuzaa?
Naombeni msaada wenu kwasababu tatizo hili limekuwa likininyima raha kwa muda mrefu
habari wana jf....nimejaliwa kupata mtoto wa kiume ambaye kwa umri ana mwezi na nusu sasa...mchana kutwa anashinda amelala akiamka ni kunyonya na kuendelea kulala..amekuwa akilala hadi saa tano au...
Rafiki yangu ana tatizo la kutema mate mengi karibu kila baada ya dk. 2 na hii humtokea tu wakati anapofunga (Swaumu) si kwa Ramadhani hii tu ila kila mwaka hupatwa na hali hii. Ushauri wenu ni...
Za Friday wa Dau!!
Kuna dada mmoja ana shida ya kutopata mtoto,ameshafanyiwa vipimo na hakuonekana na matatizo yoyote katika mirija ya uzazi na hata mayai yake ameambiwa yako vizuri, lakini cha...
WanaJF, nimeishi kwa miaka ishirini na sita (26) sasa nikiwa nimepoa moyo kabisa. Sina hisia za upendo na sijawahi kuhisi hivyo toka mwaka 1996 nilipokuwa darasa la pili.
Nakumbuka mwaka huo...
Uzi huu nimeuanzisha makhususi kwa ajili ya kuwasaidia watanzania wenzangu ambao hawana uelewa wa mambo ya afya ili waweze kujipatia ushauri wa afya kuhusu magonjwa mbalimbali ya binadamu.l
Karibuni.
wandugu, kwa anayejua, tumeshafika mwezi july 2014, ninaye mdogo wangu amesoma nursing na ninahitaji akasomee mafunzo ya tfda ili nimpatie mtaji wa duka la madawa hapa mtaani. kwa yule anayeelewa...
Ni mwaka wa 18 sasa nasumbuliwa na tumbo linajaa gesi na kuunguruma sana hadi naogopa kukaa na wenzangu. Cha ajabu pia hata mwili ukipata joto kiasi cha kutoa jasho nahisi kuchomwachomwa mwili...
Habari zawakati huu ndugu popote ulipo, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Kwa yeyote anayefahamu dawa yakutuliza maumivu ya jino yani lisiume kabisa bila kuling'oa naomba anisaidie nitumie...
Waungwana,
Kwa kipindi hiki cha baridi kunakuwa na milipuko mikali ya mafua na flu. Binafsi mimi ni mmoja wa wanaoathiriwa sana, yaani kishikwa hata kazi siwezi kufanya kwa siku 3-4.
Baada ya...
Ni vizuri kuelimishana katika mambo mbalimbali kama haya kwani kimsingi elimu haina mwisho. Zaman nilidhan magonjwa hubeba majina ya visababishi vya ugonjwa huo, Lakin kuna baadhi ya magonjwa...
Hivi wapenzi/wanandoa wakishiriki tendo la ndoa zile mbegu za kiume zote zinazomwagwa huwa zinaenda kukaa wapi kwenye mwili wa mwanamke?
Inasemekana for a single ejaculation mwanaume anazalisha...
Jamani naombeni msaada ninajisikia maumivu kwenye shingo sasa ni wiki ya tatu bado hayajaisha. Mwanzoni nilidhani labda kulala na mto nikaacha ila bado maumivu yakaendelea nikaenda kucheck malaria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.