Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari Wana JF, Naombeni mnitoe hofu tafadhali, mke wangu amepitiliza mda wake wa kujifungua na makisio yake yalikua tar 28/05 ila mpaka sasa bado na hahisi maumivu yoyote licha tu ya mtoto...
0 Reactions
59 Replies
10K Views
1. Mafuta ya nazi kwa afya ya Moyo: Mafuta ya nazi ya asidi mhimu sana kwa afya ya moyo iitwayo ‘lauric acid' ambayo ina uwezo mkubwa kuuweka moyo wako katika hali ya afya na furaha kwa...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Pariyar akionyesha jeraha ilipotolewa ‘nyama' ambayo Figo lake aliambiwa ingeota. Picha na mtandao KWA UFUPI Maharamia wa biashara ya figo wanatumia umaskini na ukosefu wa elimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wengi wetu tunafanya v2 kwa mashaka. kuhusu swala zma la mahambukz ya Vvu. kuhusu swala zma la mapenzi. et kuna ukwel wowote wa mahambukz ya ukimwi kuptia midomo . tusaidien ElMU KUPTIA HIL
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nafanya mapenz na wanawake wenzanga huu ni mwaka wa nne mwanzon niliona ni sawa ila sasa naichukia najitahid kuacha lakn nimeshindwa imefikia hatua nataman hata kufanya na dada yangu wa...
0 Reactions
53 Replies
14K Views
Napenda zaidi nitumie njia za asili za kuhesabu kalenda ila kuna kipindi nasahau nihesabu vip; naomba msaada wa jinsi ya kuhesabu kalenda ; ila huwa menstrual yangu iko irregular
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni tatizo ambalo nimewaona nalo watu wengi sana hasa niliobahatka kulala nao mwezi wa barid. Lakini sina uhakika kama tatizo hili kawaida kwa binadamu. Nahitaji msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Nini sababu,faida,na taabu ya uume kuto weza kusimama vizuri(yani kuwa mraini)wakati wa kujamiiana
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Napenda kujua kuna jirani yangu dada yake ana uvimbe tumboni nyuma ya kizazi hii ni baada ya matokeo ya Ultrasound na pia ana uvimbe mwingine tumboni. Hali hii inaambatana na maumivu tumboni na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
mi Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha Nne mwaka 2013, Anaenda chuo cha Afya cha st.bhakita namanyere kozi ya MEDICAL LABORATORY naomba mnisaidie Kama hii kozi inawweza kumpatia kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali imesema itaongeza udhibiti dhidi ya watu wanye virusi vya ugonjwa hatari wa ebola, ili wasiweze kupenya na kuingia nchini. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nina mtoto mdogo,ameota vipele kwnye makalio ambavyo vina muuma sana, msaada wa haraka haraka wenye kujua tatizo na tiba yake.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimeamka asubuhi ya leo gafla naona kitu kama upele mkubwa kiasi kama jipu hivi sehemu ya shingo ya uume wangu. Uvimbe huo hauumi kabisa but unanipa wasiwasi coz haijawahi kunitokea. Naomba...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Habari za jioni wana JF! Nina tatizo la kupiga chafya mara kwa mara na hili tatizo limenitokea takribani wiki sasa naomba wataalam mnijuze chanzo pia athari zake ni nini?
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Dr Suboth Shetty A visiting surgeon, Dr Suboth Shetty, who specialises in spinal related complications, has said the use of modern technology allows for the use of minimal invasive approaches...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
And Am Really Angry Right Now Nobody should have this disease. I never, in a bazillion years, would have ever thought I would be effected by it when I consider the type of family I grew up in...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba ushauri kwa waliowahi kupanda na wenye utaalam wa kupanda milima. Kuna rafiki yangu alikuwa akitafuta baiskeli ya kufanyia mazoezi ya kupanda ml.Kilimanjaro. Ana wiki moja tu ili apande...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni nini kinasababisha baadhi ya watu kuwa na ulimi mweusi
0 Reactions
0 Replies
6K Views
mwanangu wa miaka 6 anaumwa jino.linamsumbua hasa usiku. nimeenda hsptl kumtoa kutokana na usumbufu wa kuogopa sindano Dr kashauri asimtoe, jamani hakuna means yyt ya kufanya mpaka atolewe maana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamii f. Naomba msaada wa swala hili, mimi na mke wangu tuna mtoto wa miezi 8,na kwa bahati mbaya mke wangu ameshika ujauzito mwingine, sasa sipo tayari kumwachisha mwanangu ziwa la...
0 Reactions
17 Replies
55K Views
Back
Top Bottom