Wakuu wana JF, Madaktairi naomba msaada wenu wa tatizo langu la masikio kuziba na kuachia hasa napopatwa na mafua pia usiku, yana toa sauti kama ngoma iliyopigwa.
Nilipewa...
Tafadhali naomba msaada kwa yeyote anayemjua Daktari mzuri anayeweza kutibu matatizo ya msuli kuvimba, kuna ndugu yangu anatatizo la kuvimba msuli wa paja kwa nyuma umevimba na una muuma sana ...
Wakati wa ujauzito mwili hutengeneza asilimia 50 zaidi ya damu na maji maji ili kumtosheleza mama na mtoto. Kuvimba kwa mwili wa mama ni kitu cha kawaida kwa ajili ya kuongezeka kwa damu mwilini...
VIASHIRIA VYA HATARI KWA MWANAMKE MJAMZITO.
Hivi ni viashiria au dalili ambazo akiwa navyo mjamzito ni hatari kwake na kwa mtoto.Kwani huenda vikasabisha kifo kwa mama au mtoto au wote wawili...
Mambo wana JF Doctor,
Kuna rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na maji njia ya haja kubwa yenye harufu kama mavi, kama alivyonielezea nikashindwa kumpa ushauri na badala yake...
JF Doctor, madaktari na wanaJF concerned, kuna mtoto aged 7 or 8 amekuwa anatokwa na haja kubwa kiasi kidogo lakini bila kujijua.
Ameisha pelekwa kwa madaktari mara kadhaa, amechukuliwa vipimo...
Habari zenu madaktari wa JF, natumai mmeamka salama kabisa. Tatizo langu ni hivi, nimekua mtumiaji wa chumvi sana yani kila chakula ntachokula basi lazima niongeze chumvi mbichi, mf. ugali na...
Ma-Dr. Nina mtoto wa kike ana miezi mitano ila kila akikalishwa huwa hawezi kaa. Naomba mnijuze mtoto inabidi aanze kukaa akiwa na umri gani, na kama ndani ya umri huo hajaanza kukaa tatizo...
Kwa ajili ya kupata mzuka kidogo na kupata usingizi haraka huwa natumia bia 2 hadi 4. Kulingana na gharama nafikiria kuwa nachanganya Dompo na konyagi kidogo.
Kiafya imekaaje wadau?
Heshima yenu wanajukwaa, ninahisi nina tatizo, naomba ushauri wenu. usiku wa kuamkia leo nilipatwa na wet dream, asubuhi kulivyokucha wakati niko bafuni nimekuta semen zilizochanganyika na damu...
Heshima kwenu wataalam Mungu ni mwema ametupatia kijana mwingine ana miezi mitatu amezaliwa kwa OP ila anatatizo 1 kama mafua hivi anapatashida sana hasa wakati wakunyonya.
Wengine wanasema labda...
Kulingana na maelezo ya shirika la afya duniani mama mwenye virusi vya ukimwi kwa nchi zilizo endelea na zenye upatikanaji mzuri wa maji safi na salama anashauriwa kutomnyonyesha mtoto ili...
Habari za asubuhi, natumaini mambo yanaenda sawa.
Mimi nina tatizo la kushikwa na vichomi mara baada ya kufanya mapenzi na mara nyingine kwa ajili ya baridi, hasa maeneo ya tumboni, mbavuni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.