Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndugu wataalam wa JF doctor, tunaomba mtupe elimu kidogo au kwa kina juu ya madhara ya kung'atwa na jino la binadamu. Kuna wanaosema jino lina sumu hivyo mtu akikung'ata unaweza kufa. Je kuna...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Natumai mu wazima ndugu wana jamvi na mnaendelea kutafakari bajeti ya kwanza ya mh. SAADA MKUYA! Pamoja na hayo naomba kufahamu hili jambo kama kweli kuna uwezekano wowote kwa mama kumnyonyesha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za kunyumba wakuu, tumekua tukisikia mda mrefu kuhusu madhara ya simu kwa uzazi wa mwanaume. nimeona ni-copy na ku-paste habari hii ya leo kama ilivyo nisije ongeza neno...
1 Reactions
24 Replies
21K Views
Kwa wanaopenda tiba natural (asili) kwa macho yanayouma na kutoa machozi tumieni karoti kila siku (japo mzizi mmoja), kunywa maji ya kutosha na mboga za majani (zisiive sana). Macho yako yatarudia...
2 Reactions
5 Replies
22K Views
Painful Mosquito-Borne Virus Surfaces In The US CDC A painful, mosquito-borne viral illness has surfaced across the United States, carried by recent travelers to the Caribbean where the...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Mimi ninamtoto na jirani yangu pia anamtoto mchanga, mtoto wake anaonekana kama anamatege hivi, jee anaweza kumtibu kabla mtoto hajakua; mtoto wake anamiezi minne. Karibuni
0 Reactions
17 Replies
18K Views
Hi JF members? Mke wangu alianza safari juzi kafika leo huko alikokua akienda ni mbali sana, lakini amenipigia sim anajisikia vibaya tumboni ukizingatia ni mjamzito wa miezi 6, Je, hiyo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Je genital warts yaani kwa jina jingine sunzua, yaani vipele vigumu sehemu ya siri kwenye nywele vinamadhara kiasi gani katika afya ya uzazi?. Ningependa kupata experience kabla sijaingia kwenye...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari wadau, Mwenzenu nina matatizo ya macho toka mwaka 2007. Matatizo yangu ni kuumwa na kichwa karibu kila siku licha ya kwamba ninatumia miwani ya jua na kichwa. Mishipa ya shingo inauma na...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
  • Closed
Habari za wakati huu wapendwa.... Let me go straight to the point, nina ujauzito wa miezi 3,jana jioni nimetumia ile tiba ya MziziMkavu ya vitunguu swaumu ikiwa imechanganywa na maji vuguvugu...
2 Reactions
191 Replies
40K Views
Wadau naombeni msaada hivi inawezekana mwanamke amabye amejifuungua hajazidi siku 20 akakutana kimwili akapata mimba. Naomba ufafanuzi wa kitaaluam siyo porojo
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Mimi ni mwanaume niliyeoa hivi karibuni. Siku za hivi karibuni nime-note kitu hiki, baada ya tendo la ndoa usiku asubuhi nikitoa aja ndogo inaambatana na shahawa. Naombeni msaada wenu, nini...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Anyone ashaskia about this condition? I have had it for a year now; it is very painful...ni maumivu upande mmoja wa ---- kwa ndani caused by nerve friction [nerve inaitwa sciatic] Nimetumia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimetokwa na vipele vigumu ukeni,havitungi usaha,haviwashi,haviumi wala chochote .. Nimetumia tube ya candiderm,sonaderm,skineal lakini hamna maendeleo nmekunywa dawa ya fangasi lakini pia...
0 Reactions
50 Replies
15K Views
Eti kuna uwezekano wa maziwa(matiti)kurudi kama yalivyokua baada ya kuachisha kunyonyesha?au ni njia gani ya kuyafanya matiti yakawa madogo?
0 Reactions
25 Replies
16K Views
Wadau, Poleni na pilikapilika za kila siku. Samahani, naomba msaada kutoka kwa wataalam wa ngozi. Kwa kawaida, ngozi yangu muda wote imekuwa ikionekana kuwa na mafuta mengi sana hasa usoni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau na hasa Madoctor wa JF mnaotembelea humu nawaombeni kuwauliza yafustayo na mwenye jibu sahihi tafadhali saidie sio kuleta matani mwenzenu nina shida. Hivi inawezekana kama unaupungufu wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kitaalam, mtoto mwenye upungufu wa madini ya chuma apewe vyakula gani ? Msaada wa kitaalamu please.
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Tuzingatie vyakula vya Asili na mazoezi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mama yangu anasumbuliwa na mguu, tulivompeleka hosipitali akafanyiwa x-ray na kuambiwa disc ya pingili za mgongo imesogea, wakampa dawa ila bado tatizo halijaisha kama kuna anayejua tiba yake...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom