Mwezi wa saba sasa nahangaika sijapata suluhu...napata kiungulia kama moto unawaka kifuani...jamani msaada ndugu zangu...nimetumia dawa za vidonda vya tumbo lakini za kienyeji na hospitali...
Mwanamke akichunguzwa iwapo ana saratani
ya matiti hospitalini.
Mazoezi yanaweza kusaidia kupona baada ya
kuugua saratani ya matiti lakini ni wanawake
wachache sana wanashiriki katika...
Sisi binadamu tunapaswa kuwa wasafi kimwili maana tusipofanya hivyo tutakuwa na harufu mbaya sana. Mfano unafanya kazi katika mazingira yanayosababisha kutokwa jasho katika mwili.
Usipooga...
Habari ya humu ndani wadau.
Ninahitaji msaada wa haraka kutoka kwa yeyote anayeweza nisaidia ikiwemo mawazo. Mama yangu ana miaka 70 sasa. Kama miaka 3 iliyopita alifanyiwa operation ya goti MOI...
FAIDA YA MAFUTA YA UFUTA
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana matatizo ya kiafya yanayowakabili wajasiriamali na watu wengi kwa ujumla. Katika kusoma soma vitabu na taarifa nyingi katika mtandao...
Tangu mwezi wa pili mpaka leo nina ujauzito wa miezi 8. Mguu wangu wa kulia unaniuma sana.
Je? nitumie dawa gani au dalili gani hizi?
Msaada jaman napata tabu.
Natalaji muwazima..
Jamani kwa mtaalam anaejua namna nzuri ya matumizi ya matunda atuongoze hapa ya kwamba,
1. nimatunda yapi ambayo waweza kula kwa pamoja na yapi huwezi kula kwapamoja? mfano...
Habari za humu wana JF
Nina tatizo moja ambalo linanitatiza sana, nimekuwa napenda kwenda kavu sasa nikijaribu kuacha na nikianza tu kuvaaa condom on the sport na loose my ETRCTION.
Msaada please
Leo tutachambua kwa undani saratani ya ngozi iitwayo Melanoma kwani saratani si tu kwamba ni ugonjwa hatari lakini pia ni ugonjwa unaompa mwanadamu mateso makali kutokana na maumivu anayoyapata...
Wakati soda za kupunguza uzito au diet soda zinapendwa na kutumiwa sana hasa na watu wanaohofia suala la uzito wa miili yao na kiasi cha kalori wanazokula, uchunguzi mpya umeonyesha kuwa oada hizo...
Hii ni hali inayoweza kujitokeza kwa mama mjamzito hasa katika kipindi cha umri wa mimba chini ya wiki ya 28. Baadhi ya sababu zinazoweza sababisha ni
i) Kutoka kwa mimba\
ii) Mimba nje ya mji...
Wana JF, kuna hili suala la usafi wa kinywa. Kwa utani wengine wanaema "jino moja mswaki wa nini" na pia mswaki unaitwa mswaki wa meno!
Je ni mswaki wa meno au wa kinywa?
Je ni wngapi hutumia...
Naombeni msaada wenu wa hali na mali maana mchumba wangu anapatwa na mabadiliko ya mara kwa mara kama kutapika nakadhalika.
Mimba yake ni ya kwanza jamani naombeni mnifungue macho.
Salaam kwenu wote wapendwa.
Kabla sijatoa langu la moyoni ningependa ku-declare interest kwamba mimi ni daktari. Ninaipenda, ninaiheshimu na ninaithamini sana profession yangu.
Nimekuwa...
Tatizo la uume kushindwa kusimama au kubaki katika kusimama kwa uume ni dalili ya mwanzo yenye kutoa onyo/tahadhari (warning sign) kuwa kuna ugonjwa wa moyo. Ambapo kama litaachwa kyshughulikiwa...
jamani wana jamvi,naombeni msaada juu ya hili nina ng'ombe wangu ni wa kienyeji na anamimba kubwa tu ila anatabia ya kula rambo so tumbo lake limekuwa kubwa sana.sasa naombeni kujua dawa ya tatizo...
Naombeni mnijuze kazi na umuhimu wa asali ya nyuki wadogo katika mwili
Na pia naombeni mnieleze utofauti wa asali mbichi sijui na iliyoiva
Asali ya nyuki wadogo na wakubwa
Na kazi zao mwilini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.