Wakuu habarini za majukumu?
Naomba kwa wataalamu nijuzwe hili, mke wangu ametoka kujifungua miezi miwili na nusu iliyopita kwa operation, Thanks God alijifungua salama.
Sasa issue ni kwamba...
Habari Wakuu
Nimekua na mpenzi wangu amekua akitokwa na damu mara kwa mara pale tunapoanza tu ku du..!
Tumejaribu kutafta ushauri kwa madockta wametuambia labda ni kinga za uzazi alizokua...
Wakuu heshima kwenu.
Nimekunywa hicho kinywaji kumbe kimeshapita muda wa matumizi sasa tumbo linaniuma na ninaharisha naogopa kunywa flajiri nifanyeje wakuu?
Wadau,jamani naumwa na tumbo sana tena chini ya kitovu,
Linavyouma ni kama nataka kubleed then linakata sana,lilianza jumamosi tarehe 14 ambapo nilitokwa na ute mwingi mpaka leo tarehe 17 ndo...
Habari wakuu?
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa, hivi nini chanzo cha mtu mzima kutafuna ulimi kama atafunavyo jojo ? Maana kuna jamaa yangu wa karibu sana huwa namuona akifanya hivyo hasa...
Wana JF naomba kuelekezwa. Eti ni kweli miswaki inabeba bacteria wakati tunavyoweka / kutunza miswaki yetu kwenye mabafu au kwenye choo (sehemu tunazoogea au kujisaidia).
Kwamba tukishamaliza...
Habari zenu wanaJF, nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora.
Yupo smart, intelligent na very...
Naombeni ushauri sijui nini kinanisumbua sasa hivi nina zaidi ya miezi kadhaa ninasumbuliwa na tatizo la kusikia ndani ya kifua kama moto unaniunguza na mara nyingine sehemu za mkono.
Kwa yeyote...
Naomba kueleweshwa, hivi inakuwaje baadhi ya wanaume wana uume mfupi (kibamia). Je wanaweza kubebesha mimba?
Uume kuwa mdogo haisababishi wewe kuto m-bebesha mwanamke mimba. kuna sababu zingine...
Wanajamvi naombeni msaada mke wangu ananyonyesha (ana mtoto mdogo) katika cheza cheza yetu alikosea kuhesabu siku zake leo ni siku ya 5, bilabila hajaona siku zake ikabidi niingie dukani kununua...
Habari wanajukwaa,ninatatizo,ni mwezi wa nne sasa najaribu kumpa mke wangu mimba bila mafanikio,siku zake za mwezi ni 28 ila kuna wakati zinabadilika na kuwa 32,sijui nifanyeje?
Wakati mwezi mtukufu wa Ramadhan unanukia, nimeikuta hii "article" ya Kisayansi inayohusina na kufunga.
Fasting triggers stem cell regeneration of damaged, old immune system
Date:
June 5...
Wakuu msaada wenu please nina matatizo ya joint za kiuno zinasumbua sana kunakuwa na kama msuguano hasa upande wa kulia na hii imenianza baada ya kumaliza dozi ya sindano za kwinini.
Sijui...
Mapenzi
Saratani imeendelea kuwa tishio hapa nchini huku hofu ikiendelea kuikumba jamii kutokana na wataalamu wa afya kushindwa kufahamu tiba halisi ya maradhi hayo hatari.
Takwimu kutoka...
Ni ushari unaotolewa katika mahospitali yetu lakini kuna dr Bingwa mmoja nilimsikia kwa masikio yangu akipinga suala hili la kutowapa maji watoto akidai marufuku.
Hiyo ililetwa kwa vile...
For most people, learning how to overcome depression and anxiety is a simple process.
And since antidepressants are the most prescribed drug in the U.S., knowing how to overcome depression...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.