Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Watermelon Health Benefits Diana Herrington | July 14, 2012 | 6 Comments Everyone loves a big piece of thirst quenching...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wapendwa, mimi nina mpenzi wangu ambaye amenijulisha kuwa ana mimba yangu hivi majuzi baada ya kwenda kupima, kwani alikosa siku zake. Mimi nilifanya naye mapenzi bila kutumia kinga na...
1 Reactions
34 Replies
15K Views
Natanguliza shukrani wana Jf...ninatatizo ambalo wengi wamekua wakilijumuisha kama vidonda vya tumbo...dalili ni kujisikia kichefuchefu..kiungulia..maumivu nyuma ya mgongo..mwaka jana nilipima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina miaka nane sasa toka maumivu yaanze kunitokea ambayo yanatembea mwilini,nateseka sana,naomba ushauri wenu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello, mshipa wa damu wa kichwani kwangu upande wa kushoto karibu na utosi unanitia mashaka kwa maana nahisi damu kupita hapo kwa pressure kubwa mpaka nasikia mshipa ukitikisika. Inanitokea kama...
0 Reactions
76 Replies
13K Views
Nina mwezi wa nne sasa nahisi kama naungua sehemu za siri mpaka mapajani, nimewaona madoctor nimetumia karibia antibiotic zote lakini moto kama unazidi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
"Eat breakfast!" nutrition experts have been telling us for decades. It revs your metabolism! It keeps you from overindulging at lunch! It helps you lose weight! But a new study suggests the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari ya majukumu. nimetoka kumaliza dawa za typhoid dozi ya siku tano, dawa aina ya ciproflaxin, swali langu ni, je ni baada ya mda gani naweza tumia kinywaji(bia)? nina siku ya 10 tangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Takribani miaka 8 nimekuwa nikikabiliwa na tatizo la kuongezeka uzito wa Kg 2.125 kwa mwaka. Uzito wangu wa kawaida ulikuwa ni Kg 75, hadi kufikia April,2013 nilikuwa na Kg 92 ambazo ni ongezeko...
8 Reactions
29 Replies
21K Views
Tanzania inaungana na nchi nyingine duniani katika kupambana na ugonjwa wa malaria pia kuhamasisha uelewa ili kukabiliana na ugonjwa huu unaoongoza kwa kuua watu wengi. Wataalamu wa afya...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari wakuu,mimi na mke wanug tupo kwenye ndoa kwa takribani miezi saba sasa.Tunauhitaji wa kupata mtoto lakini kwa bahati mbaya Kuna jambo ambalo limekuwa linatutatiza kidogo. Mzunguko wa hedhi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mambo Jamani wanaJF nisaidieni mimi uume wangu umekuwa na vipele vigumu vyeusi havitoi maji wala chochote vinakwazuruza tu nimenda kupima hadi ngoma hakuna kitu sasa nashidwa kijielewa nisaidieni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf.mi ni mwanaume Nina ------ makubwa utafikiri dem et. mpaka najisikia vibaya nikichomekea ninavyotuna nyuma. Nawaombeni ushauri nitumie dawa/mazoez gani I'll angalau yapungue?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba ushauri wenu mimi sijaoa umri wangu ni miaka 27, tatizo langu ni uume wangu kulingana kama wa mtoto mdogo ila nikija kugegeda ndo unatoka na kuwa wa mtu mzima kitu kinacho...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Naombeni mnijuze maana mimi napenda sana kuiangalia picha za ngono na wakati naangalia najikuta nshashusha wazungu weupe
0 Reactions
17 Replies
48K Views
Habari wana Jf, Napata taabu sana inapofikia muda wa kufanya zoezi la usafi kunyoa makwapani na sehemu za siri napata muwasho sana. Nimejaribu kutumia aina tofauti za nyembe. Mashine za kunyolea...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mdogo miaka kama 25 hivi, ila mpaka sasa nina mvi kuanzia kwenye ndevu hadi kichwani. Sitaki kujali sana juu ya hili ila nahitaji tu kufahamu hii inasababishwa na nini? Na pia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kuimiri ushiriki tendo la ndoa kwa kiwango stahiki, Kwa nini nguvu za kiume zipungu; Kuna mambo kadha wa kadhaa yanayoweze kusababisha upungufu wa nguvu za...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Je dawa sahihi kwa tiba ya joints zisiume ni ipi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Kuna kakijana kangu kana miezi 7 sasa, aliwahi kunyolewa mara moja tu tangu amezaliwa akiwa na kama mwezi mmoja baada ya apo ukuaji wa nywele umekua wa kusuasua sana. Kwa sasa zimeota ila...
1 Reactions
4 Replies
10K Views
Back
Top Bottom