Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jambo iko wana jf? Nianze kwa kuwashukuru manake kuna matatizo yangu nliwekaga hapa nkapata ushauri wa tiba mbadala na maoni kibao tu sasa niko poa mpaka najishangaa. Sasa nina friend wangu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wana JF, Naomba mwenye kujua jinsi ya kutibu chango la tumbo kwa watoto wadogo.Mtoto wangu ana miezi miwili anasumbuliwa sana na tumbo,huwa anajisokota na kulia muda mwingi na anataka...
0 Reactions
7 Replies
26K Views
VIFO vya wanawake wajawazito vilivyotokea wakati wa kujifungua katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, katika kipindi cha mwezi Aprili, 2014, imebainika kuwa asilimia hamsini (50) ya vifo hivyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilikua mwezi wa tatu mwaka jana kilijitokeza kipele kwenye mguu kikawa kina washa sana na nilipo jaribu kukuna kilitoa damu tokea hapo kikawa kinatanuka na kuweka gamba gumu juu. Ila ndani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta dawa ya kuongeza nguvu za kike kwa ajili ya mpenzi wangu. Hivi karibuni nimepata mpenzi mpya, mtoto wa kichaga, mrembo kweli kweli. Figure, color kila kitu kimetulia na shule imelala...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Habari wanajamvi, Mimi nina mtoto wangu yuko hatua za mwisho za kujifungua, ila anadalili za kutapika na kushuka pressure, Pia nimeambiwa mtoto kajisaidia haja kubwa nabado yupo anasubiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mchana huu wapendwa, ni muda mrefu nimekuwa nikinywa maji ya moto. Yaan 90% ya maji ya kunywa ninayokunywa ni ya moto. Nimekuwa zaidi ya mlevi, yaan hata nikipatwa kiu nikinywa maji ya...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna kitu kinanitatiza, hivi mtu akifanyiwa operation ya kujifungua anatakiwa akae muda gani aweze kufanya mazoezi yaani kwenda Gym! kuna wanaosema miezi 6, wengine mwaka. Napenda nijue...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyama nyekundu inaelezwa kuwa ni moja ya vyakula vinavyopunguza urefu wa maisha. Kwa miaka mingi sana binadamu wa karne zote wamekuwa wakitafuta siri za maisha marefu, kuzuia uzee na hata kuzuia...
1 Reactions
16 Replies
15K Views
Habari wadau, naomba tusaidiane katika hili. Ni mtoto wa kiume ana umri wa miezi 3, alizaliwa na uzito wa kilo 4 baada ya miezi 2 akawa na kilo 7 na sasa mwezi wa 3 amefikisha kilo 9.3. Je hii...
0 Reactions
4 Replies
15K Views
Fantastic Facts about the the human body The human body really is amazing. Check out these fantastic facts: 1. Approximately 80-90% of what we perceive as "taste" actually is due to our sense of...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Nilikuwa nakula sana mayai yaani kwa mwezi nilikuwa napiga trei moja na nusu dah nikaanza kuona tofauti yaani uume wangu ulikuwa hauwezi simama na kua imara kabisa. Hivyo nikaamua kuachana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanabodi Naomba msaada kwani kila ninapokula chakula na kumeza napata maumivu kama kuna vidonda kwenye njia ya kushusha chakula. Nahitaji msaada wenu wadau. Ahsante
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Just picture yourself with strong, beautiful, white teeth to brighten your smile. Many people try in vain to whiten their teeth and maintain their smile. Yellow teeth often make us feel ashamed or...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
T.F.D.A mpo wapii? Chunguzeni Hizi dawa za maleria ambazo zinatumika sana duo cotexin zipo copy fake na mgonjwa akizitumia zinawasha vibaya mno wakati zile org haziwashi na ukiziangalia huwezi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina miezi kama mitatu hivi kiuno kinauma sana! Nimetumia dawa aina mbili ikiwemo Indocid lakini maumivu yanazidi. Nisaidieni kabla sijaamua kwenda hospital
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Tusaidiane wandugu. Kwa watumiaji wa pads za HQ.kuna kaubaridi flani Mimi binafsi huwa nakafili alafu kanakuwa kama kaubaridi ka pipi kifua na kuna wanawake niliwahi kuwauliza kuhusu hiyo hali...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Naoma madr mnisaidie. Hivi inawezekana mtu kupima VVU ndani ya wiki 1 na kugundulika kuathirika au kuwa na uhakika kwamba yuko salama? Hii ni kutokana na mtoto aliyebakwa kuonekana kwamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani hii imeshakuwa shida sasamwaka jana nlikuwa njombe kikazi babyto akasema anataka kuja wakati wa pasaka nkamruhusu lakini alivyokuja uumr wake ulismama ile siku ya kwanza tuu siku zilizofata...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
TIBA YA DENGUE Homa ya dengue iko Malaysia, Thailand, Phillipines kwa miaka mingi. Imethibitishwa kwamba wao wanatibu na kuzuia kwa kutumia Papai ambapo wanatafuna na mbegu zake au majani yake...
0 Reactions
11 Replies
12K Views
Back
Top Bottom