According to BBC World News, imegundulika vaccine ya Malaria na imefanyiwa utafiki kwa panya na imegundulika kufanya kazi 100%. Wanaifanyia utafiti kama itawezekana kwa binadamu, wameanzia hapa...
Habari wadau.
Naomba kufahamu ni baada ya mda gan mimba ikishatunga kipimo cha mimba cha kutumia mkojo kinaweza kutoa majibu thabiti?
Yaan baada ya muda gani baada ya sex msichana anaweza...
Jamani mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 hivi karibuni nimekumbwa na tatizo la kutokwa na michubuko sehemu ya juu ya uume hasa mule ambamo nilishonwa baada ya kutahiliwa .
Hata nikivaa...
Wakuu wana wa JF na wenye taaluma ya afya, Salaam!
Nina mwanangu wa kiume wa miaka sita na anasoma shule ambayo humfanya tumwamshe kila siku ya shule saa 11:45 asubuhi.
Akiamka na kusimama...
Dengue Fever
Dengue fever is ranked by the World Health Organization (WHO) as the most important mosquito-borne viral disease in the world - and the most rapidly spreading - with a 30-fold...
Nimetumia dawa nyingi za hospitali sasa nimeamua kusalimu amri kwenu wanajf mniokoe kwani ni mwaka wa 3 sasa taifodi inanisumbua.
Msaada wa mitishamba please.
Wapendwa wana jf ningependa kuwashirisha mambo machache kuhusu afya zetu hasa kwa wele wenye kisukari, presha, pia kama una historia ya kupata maambukizi katika njia ya mkojo(Urinary truck...
A group of children in Tanzania who are naturally immune to malaria are helping scientists to develop a new vaccine. US researchers have found that they produce an antibody that attacks the...
France & Denmark have banned
it from the country...
RED BULL - slow death ...
Do NOT drink this drink anymore!
Pay attention...read everything...
As a public health safety, please pass on this...
Nilikunywa fansida siku 1 mwaka 2009 nilipoamka kesho yake nilivimba uso na macho, alafu uso ukawa mweusi sehemu niliovimba. Hadi Leo bado kweusi.
Msaada kwa anaejua namna gani nifanye ili hii...
Inasemekana kuwa kuna "epidemic ya dengue nchini kwetu. Kitaalamu, hii haileti maana hata kidogo; nitatoa sababu.
1. Tanzania ni nchi mojawapo ambayo dengue ni "endemic" hapa nchini kwetu...
Wakuu heshima mbele naombeni msaada wenu, natokwa sana jasho kwapani hali inayopelekea kushindwa kabisa kuvaa mashati au tsheti nyeupe maana ulowana kabisa kwapani utafikiri nimemwagiwa maji! kama...
Ninakidonda kikubwa ambacho kimesababishwa na malenge lenge mguuni, sasa yapata miez miwil kidonda hakipungui, nitumie dawa gani?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Salaam Zenu Wakuu!
Mimi ni mama wa watoto watatu, wote wa kike. Watoto wote hao nilijifungua kwa njia ya operation. Wakati wa mimba ya kwanza niliambiwa na Daktari kuwa siwezi kujifungua kwa njia...
Habari za leo wana JF.
Mimi ni mzazi mpya nimejifungua kwa operation mtoto wangu wa kwanza tarehe 14/5/2014 ni jinsia ya kike. Msaada ninaoomba hapa ni kupatiwa ufumbuzi wa swala hili mwanangu...
Habari za kaz wakuu! Hali hii imenitokea leo asubuh kama saa3 hivi nilikuwa na kabaiskeli kakamongo nimepanda mlima kidogo tu nikaona pumzi inakata kifua kizito,kukosa nguvu nikapumnzika kando na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.