Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu ni hospitali gani ambayo wanaweza kunifanyia operation ndogo ili nitoe hizi herufi mbili (tatoo) mkononi mwangu ambazo nilijichorwa nikiwa mdogo. na ni shillingi ngapi? Au kama kuna dawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anahema kwa shida sana. Nifanyeje?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salam ndugu zangu. Mke wangu ni mjamzito wa miezi minne japo unaenda mwezi wa tano. Mimba alinasa january, wkt bado hajaconferm, akapatwa na malaria, alipima akaamua kumeza malafin/metacafrine...
0 Reactions
6 Replies
34K Views
Habari wana jamvi, mimi ni mama nimejifungua kwa upasuaji jumatatu ya tarehe 5 mwezi huu wa 5. Baada ya upasuaj niliruhusiwa kurudi nyumbani lakni naona kidonda kinatoa majimaji upande wa kulia...
1 Reactions
13 Replies
50K Views
Habari zenu wanajamvi Naomba msaada wenu, ni dawa gani inaweza tibu tatizo la miguu kutoa harufu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika vituo binafsi, wagonjwa wamekuwa wakipimwa kwa gharama inayofikia Sh50,000 hadi 60,000 kwa kila mtu.PICHA|MAKTABA KWA UFUPI Katika vituo binafsi, wagonjwa wamekuwa wakipimwa kwa gharama...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina ndugu yangu ana HIV, amejaribu kuanzishiwa hizi dawa za kuvubaza lakini zote zimemkataa, anavimba mwili na nnyingine inamtoa mapunye baadaye yanakuwa vidonda vikubwa na nyingine anakuwa kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni sawa kutumia septrine kwa mjamzito wa miezi5? ila ana HIV positive na pia kapewa dawa nyingine.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
What Are the Health Risks of Overweight and Obesity? Being overweight or obese isn't a cosmetic problem. These conditions greatly raise your risk for other health problems. Overweight and...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Nilikuwa na infection ambayo niliandikiwa matibabu ya Cipro kwa wiki tatu. Matokeo yake hiyo dawa imenisababishia side effect mbaya sana ijulikanayo kama C. Dificile na pia kuwashwa na ngozi kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi Kuna rafiki yangu ana tatizo la kansa anatakiwa achome mionzi, na mpaka dakika hii yupo Ocean Road. Kwa sasa ana na bado hajaanza tiba. Kwani mtu anayechoma mionzi inabidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mara ya kwanza nimeona kitu kama ute (mucus) baada ya kumaliza kukojoa ukitoka.je ni tatizo au ni kawaida? Shukran.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mboga za majani ndizo nzuri zaidi katika afya ya mtu Watafiti nchini Uingereza wanasema kula matunda na mboga za majani mara saba kwa siku inakuwezesha kuwa na afya zaidi kuliko mara tano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A diet rich in whole, natural foods is not only excellent for overall health, but also for prostate health. Research shows that certain nutrients and foods that have an abundance of these...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanaume wasio na ajira wako katika hatari ya kuathirika zaidi kutokana na ugomvi Ugomvi wa mara kwa mara baina ya wapenzi, marafiki ama hata jamii unaongeza hatari ya kufa kwa watu wenye umri wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna huu mfuko wa matibabu wa AAR, naomba kujua mtu anaingizwaje?Wenu Benokolongokonongose
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Bs Negative maana yake nini nyie madr?
0 Reactions
4 Replies
985 Views
Habari zenu wana JF, Mimi tatizo langu ni hili nasumbuliwa sana na tumbo kushoto na kulia chini ya kitovu, then nina miaka mitatu ndani ya ndoa sijapata hata baby jamani. Nilicheki utra sound...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Toka nipo tailiwa nikimaliza kujisaidia aja dogo mwisho kabisa mkojo utoka na damu baada ya muda ikapotea . Sasa naona imerudi tena ile hali naomba msaada wenu jf;
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi JF Doctor Ni takribani miezi miwili sasa nasumbuliwa na maumivu ya miguu na mikono. Naweza kuhisi maumivu katika mguu wa kulia mara yanahamia wa kushoto na mikononi vivyo hivyo. Nilienda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom