Naomba tumsaidie dada angu, ana mtoto mmoja wa miaka 11 ni mwaka umepita tangu aanze kutafuta mimba, alienda hospitali akasafishwa mirija ya uzazi na kupewa dawa (clomiphene).
Baada ya kutumia...
Tatizo liko hivi, siku moja nikiwa nimelala usiku, kama kawaida ya wanaume ifkapo asubuhi mida ya kuamka uume mara nyingi husimama. Sasa nilijikuta niko tofauti baada uume kusimama nakusikia...
Habari wana JF
Kuna ndugu yangu mmoja kanipigia simu akaniambia kuwa kuna mabingwa wa kutibu masikio wapo Arusha na wanatibu bure, nilipo muuliza kuwa kaambiwa na nani akasema ameona katika TV...
Habarini humu ndani heshima kwenu.
Niko na mtoto ana miezi 7, mara nyingi huwa anapaliwa mate akiwa usingizini na hali hii nimeigundua siku tatu zilizopita. Sijajua hii hali inasababishwa na...
Wana jamvi takribani leo ni siku ya tatu kila nikienda kukojoa haja ndogo vitu vyanitekenya tekenya kwa chini ya mzee na hasa pale ninapomalizia malizia
Msaada wa kitabibu,nimejifungua kwa operation wiki mbili zimepita napata homa kali na maumivu makali ya tumbo.pia nnaharisha na kutapika.nimerudi hospitali niliyofanyiwa upasuaji majibu ninayopata...
Ni kama miezi minne iliyopita niliwahi kulalamikiwa na jirani yangu kuwa Net za misaada zinasababisha kunguni,nilishangaa sana lakini sikuonesha kushangaa huko kwa yule aliyeniambia
Baada kama ya...
Juzi ucku nimemaliza dozi ya msetto ya mtu mzima, lakini cha kushangaza jana na leo dalili za malaria zinakuwa kama zinaanza upya, kichwa na mwili mzima kuniuma, sasa nachojiuliza inawezekana hii...
Sabuni pia zinasemekana kuwa na kemikali zinazoathiri mbegu za wanaume
Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta...
Hivi huu ni ugonjwa gani,maana leo naweza kuwa okay lakini kesho kwa chakula hichohicho nikaharisha vibaya.Madaktari wanadai niorodheshe vyakula vyote vinavyonisumbua na kuviepuka kwani hawaoni...
Wana jamiiforums naomba msaada wenu;
Shemeji yangu sasa ana kama wiki tatu ni mgojwa sana anasumbuliwa na maumivu makali sana ya kichwa na pili hana nguvu kabisa, tulimpeleka hospitali...
Salaam wakuu wote wa JF;
Hakika ninaleta ombi langu kwa wataalamu wa huku JF Kunipa data za kuweza kupata jembe langu (Baby boy).Tuna watoto 2 baby girl.
Kuna link nimeshindwa kuiona...
Nimekuwa nikifanya research hii kwa muda sasa na bado naendelea na research hiyo, ya kwa nini kuna kuwa na vijana wanaopenda kuingiliwa (mashoga). Mbali na yote yanayosemwa lakini mkae mkijua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.