Prostate gland anlargement (Uvimbe kwenye tezi ya kibofu cha mkojo) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi mno kwa sasa. Ugonjwa huo huweza kusababishwa na magonjwa kama vile U.T.I, kisonono,kaswende...
Homa ya Dengue ,nitajitahidi kutafsiri kwa Kiswahili ila naomba radhi pale ambapo nitakosea
Dalili zake huanza siku 4 mpaka 10 baada ya maambukizi. Dalili zenyewe ni:
1. Homa kali naya...
Natumaini nyote wazima.
Naomba kusaidiwa jambo hili huwaje. Ninaishi na mke miaka miwili sasa, lakini nakosa furaha kabisa kwani tendo la ndoa linafanyika angalau mara 1 kwa wiki 2/3, tena kwa...
Ni kama fasheni siku hizi kukuta earswaps kwende gari, dressing table nyumbani na hata ofisini mwili una jinsi yake ya kujiswafi na kujilinda, na mojawapo ya maeneo hayo ni...
Habari wana-JF,
Nasumbuliwa na kifua kubana,
Kila nivutapo pumzi ndani au nje mbavu zinabana na kutoa sauti kama mtu anayevunja vijiti vikavu.
Kwa mtu aliye karibu yangu wakati huo anaweza...
Salama wakuu!
Mimi nina mtoto wa miaka 5, mtoto huyu anapenda sana katuni anaweza kuangalia katuni asubuhi mpaka jioni bila kuchoka
na ikitokea ukizima Tv ni kilio mtindo...
FULL TRANSCRIPTION FROM NETWORK 23:
Good evening, I'm Michel Kassett. This is Network 23. A couple of weeks ago
we had a program on the subject of AIDS, addressing the question of whether
AIDS...
Kumeza manii ya mwanaume mwenye afya bora angalau mara tatu kwa wiki kuna faida zifuatazo:
1.virutubishi vya manii huongeza muda wakuishi.
2.uwezo wa kupambana na cancer.
3.kunamfanya mwanamke...
Magonjwa ya moyo yameshika kasi hapa nchini kiasi cha kutishia uhai wa watu wengi.
Ripoti ya iliyotolewa na Taasisi ya Afya ya Ifakara hivi karibuni inaeleza kuwa hospitali na zahanati nyingi...
Panya mzee akiwa mwenye nguvu baada ya kuwekewa damu changa
KWA UFUPI
Kwenye utafiti huo, baada ya kuchukua damu ya panya mchanga na kumuingizia aliyezeeka, ghafla alibadilika na kurejewa na...
KWA UFUPI
Wakati kukiwa na changamoto nyingi za jinsi ya kupata tiba ya maradhi kama Ukimwi, saratani na kisukari, mengine yanaibuka yakionyesha kuwa dawa za kutibu maradhi ya uambukizo...
Ndugu wana bodi nina maswali mawili naomba mnisaidie,
1.Nililala na msichana ikiwa ni siku ya 7 baada ya kuanza mzunguko wake na akapata ujauzito pia msicha huyo huyo nililala nae iliwa ni siku...
Jamani wandugu, hii ni sku ya 3, kila ni kila natapika na mara nyingine navulimia kwa tabu mpaka usingizi unichukue..ila kichwa hakiumi...yaweza kuwa ni dengu ? hebu naomba mwenye dalili zake...
Mtu unakuwa na hamu ya kufanya mapenzi na sometimes usipofanya unaweza kuota usiku ukapiz (For Men) bt ukikutana na she unampa goli mbili na hapo basi kupata jingine inaweza kuwa baada masaa 4 au...
Wana Jf naomba msaada kama kuna mtu anajua hospitali inayotoa tiba ya afya ya mfumo wa uzazi kwa wanaume naomba anijuze tafadhali. Natanguliza shukrani.
Wataalam nchini marekani kwa mara nyingine tena wamethibitisha umuhimu wa nguruwe kwa maisha ya mwanadamu pale majaribio yao ya moyo wa nguruwe waliomuwekea nyani kuonesha pasi na wasi kuwa...
Anaomba kufaham dawa ip nzur ya kuweza kukausha kidonda cha Kutahiriliwa kwa haraka ana miaka 28
ametahiliwa jumapili tarehe 04 yeye alipewa dawa za kumeza Croxasilin.na asprin..
Habarin., mi nina tatizo ambalo ni la muda mrefu, yaani nikioga tu maji mwili wote unawasha na nakosa raha kabisa, na nikiona kitu kichafu kichafu, au hata nguo chafu, au kitu chocht...
Habari wan jf,mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto,NILIGUNDULIKA HOSP. KUWA NINA PCOS MIRIJA YOTE OKEY,MFUKO WA UZAZI OKEY,NIMETUMIA METFORMIN,CLOMID ETC BILA MAFANIKIO.
NAHITAJI SANA MTOTO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.