Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wa ndugu ninamjamzito,anamimba ya week 34 madoctor walisahau kumpa Anti D injection kwa sababu mwanamke ana 0 negative na mume ana B positive,so alitakiwa apewe mimba ikiwa na week 28 lakini kwa...
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Wajameni naombeni kujua kama kuna adhari za kuduu kipindi mwenzio yuko period
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini wandugu; Kuna rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo la kuingia bleed kila anapomaliza sex,na hata kama sio siku za karibu na mzunguko wa hedhi,yeye akiduu lazima akavae ped je kuna mwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kwasasa tatizo langu la harufu mbaya kinywan limeisha baada ya kutafuna tangawiz kwa mwez sasa naona hili tatizo cpo nalo tena japokuwa nivigumu kujua kama unatokwa na harufu mbaya ila kwamim...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
MVUA zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini, na baadhi ya na maeneo haya Yamekuwa yakikumbwa mara kadhaa hukumbwa na magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu, kutokana na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimejaribu kupima vipimo karibuni vyote vya damu majibu hakuna ugonjwa!Sasa ajabu mwili wote umejaa vitu kama misumali vinanichoma sana.Ushauri tafadhali!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani mim nawashwa mwil mzima saiz nina kama week 2 hv;nimejarbu kwenda hosptal lakn bdo mwili unaniwasha kama nini yani
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Heshima kwenu waKUU. Kuna rafiki yangu Mtoto wake ana Mwaka 1 anatapika wakati mwingine Anaharisha pia ana JOTO KALI amepimwa Maralia U. T .I lkn hakuna kitu na Mtoto anaendelea kuumwa kiukweli...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mazingira ni jambo lingine linaloathiri afya. Iwapo maji tunayokunywa na kutumia ni safi na salama, iwapo hewa tunayovuta si chafu, maeneo tunayofanyia kazi ni salama na pia nyumba tunazoishi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Niko kwenye harakati za kupunguza uzito,najua mbinu kadhaa ambazo nimeanza kuzitumia 1.kutembea angalau kwa nusu saa kila siku 2.kupunguza au kuacha kabisa chakula cha mafuta mengi(hapa nimeacha...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyo hitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na inayokubalika ya kuweza kugundua kama mtu ni mnene...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Asanteni wana jf ninatatizo la kuwahi sana kupeez wakati wa kusex naombeni msaada
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari za week end wana jamvi... Tafadhali naomba maelezo ya kina toka kwa mtu yeyote mwenye utambuzi wa kitaalamu kuhusu tatizo la kiafya linalojulikana kitaalamu kama Foot Drop. Nimefikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
msaada wakuu..
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Tumbo linakua kubwa anadai ni unene.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini Jamani.Naombeni ushauri wenu. Nipo kwenye mahusiano na msichana mmoja ambae amesoma MVUMI DCT Chuo cha Manesi na Wauguzi Wasaidizi.Juma lililopita alikua akiniambia anawashwa/anasikia...
0 Reactions
6 Replies
38K Views
Mtu aliyelewa sana au mwenge hangover ya pombe dawa yake ni glass moja tu ya mtindi. Mtu aliyekunywa pombe na anataka kukata harufu ya pombe dawa yake ni ndizi mbivu
0 Reactions
13 Replies
14K Views
Vitambi ni ugonjwa mbaya sana... dawa yake hii hapa kwa video... http://youtu.be/POdzasJklxw
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwili wote unauma msaada jamni kwa mwenye kuelewa ni tatizo gani hili asante wenu mtiifu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalamu nisaidieni kuhusu pepopunda. Chanzo chake, wadudu waenezao wapoje na wanapatikana mazingira gani, wahanga ni watu wa umri gani, dalili kwa mgonjwa, athari, kinga na tiba yake. Karibuni
0 Reactions
0 Replies
40K Views
Back
Top Bottom