Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nimekuwa nikifikilia jinsi ya kupata tiba ya ukimwi na nikakuta kuwa ukimwi unapatika mwilini mwabinadamu na hasa hasa kwenye damu, nikafikili kama mtu mwenye UKIMWI ataondolewa damu yote yenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF! Samahani kwa swali hili. Ikitokea, kijana mtunza mifugo amefanya mapenzi na ng'ombe ambaye yuko kwenye joto(heat period)je kuna uwezekano wa kumsababishia kupata ujauzito?Da...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu amepata wasiwasi baada ya kuhisi yai lake la korodani ya kushoto limeungana na kitu na hajui ni kitu gani, wana JF tafadhari tunaomba msaada kwa anaye fahamu hii kitu!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ya asubuhi.Kwenu ma dactar mwanangu wa mwaka mmoja na nusu kanywa mafuta ya taa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Metakeflini bado haiondoi malaria yangu so jana nikaambiwa nigonge mwarubainh. Usiku nkagonga na leo nataka nipige tena kama nusu kikombe ingawa ni chungu sana. Vipi wakuu bado huu mmea bado...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Jamani wana JF nisaidieni meno yananiuma sana na yametoboka. Nshayajaza ila sasa hivi filter zimeisha, sitaki kuyatoa na siwezi kutafuna kitu kigumu naumwa sana. Your help please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvini, naombeni ushauri mwenzenu kila nikila kitu naenda kuharisha kuanzia jumatatu msaada jamani ni ugonjwa gani kabla sijaenda hospital
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear friend-Pls VOTE for Dr Frank Manase and CCPmedicine-mradi wa kuzuia Kansa ya Maziwa kwa walimu wa shule za msingi waweza fuata link hii kupiga kura-you are welcome to share with friends and...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
kuna mtu kaniuliza hili. Je nini madhara ya mimba kutungwa wakati wahusika wamelewa katika unywaji wa pombe wa mtoto hapo badae baada ya kuzaliwa? Na madhara mengine yaliyopo.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kipindupindu ni miongoni mwa magonjwa ambayo husababishwa na aina ya bakteria aitwaye Vibrio cholerae, Ugonjwa huu ni wa kuambukizwa kwa njia ya viini vinavyoenezwa kupitia kwa kinyesi kutoka...
0 Reactions
19 Replies
29K Views
Salaam wakuu, mwezi March niligundulika kuwa nina vidonda vya tumbo (peptic Ulcer) na daktari akaniandikia dose ya Omeprazole + hyoscine. Baada ya kumaliza dose hiyo, niligundua kuwa nguvu zangu...
1 Reactions
16 Replies
13K Views
Salaam. Ndugu wana jf naomba msaada wenu tafadhali, kwa muda usiopungua miaka kama mitano nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo mara kwa mara. Nimejaribu kwenda hospital kadhaa lakini...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
TATIZO LA KUKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA, KUPUNGUKIWA AU TOKUWA NA NGUVU KABISA ZA KIUME.. NGUVU ZA KIUME NI NINI. Nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kuimiri ushiriki tendo la ndoa kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF! Samahani kwa swali hili. Ikitokea, kijana mtunza mifugo amefanya mapenzi na ng'ombe ambaye yuko kwenye joto(heat period)je kuna uwezekano wa kumsababishia kupata ujauzito?Da...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeweka kijiti cha kuzuia mimba, nikaambiwa ntakutana kimwili na mpenzi wangu baada ya 24 hrs. nikafuata ushauri huo. lakini baada ya mwezi na nusu nikagundua na mimba, ikabidi niende private...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Tofauti zao ni nini?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wakuu Ni Wiki 2 Sasa Koo Langu Liko Ambushed Kwa Fangasi Msaada Kwa Wale Wahanga Na Wazoefu Wa Yale Mambo!...... Mnatumiaga Mbinu Gani Kurecover?
1 Reactions
54 Replies
33K Views
Nina tatizo la maziwa kuwaka moto,nimehangaika hospital lakini sijapata nafuu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Jumamosi majuzi mwanangu alilazwa hospitali kwa shida ya maleria akiwa na kilo 13. Akadungwa sindano za kwinini akawa mzima tukaruhusiwa lakini daktari akasema anywe kwinini ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naomba mnisaidie dawa kama kuna uwezekano kifua kinabana.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom