Habari ya jioni hii wakuu,
Naomba ushauri na mchango wa mawazo. Ninaujauzito wa miezi 6, niimepatwa na ugonjwa wa kifua kubana na ninakohoa sana. Sijawahi kubanwa kifua kabla. nateseka sana hasa...
Ndugu zangu wana JF naomba kujua nini tatizo kwa mwanamke kutokwa na damu kila anapofanya tendo la ndoa.
Ukiangalia inakuwa sio mchubuko wala sio kuwa yuko period, unakuta tu uume ukiingiea...
Tafadhali nisaidieni, juzi usiku nikiwa na maumivu makali ya kichwa nilikunywa diclopr 3 at once.
Kwa bahati mbaya, jana jioni nikaanza kuumwa kichwa na...
Mji wa Mimba Mbegu toka kwa mwanaume
Mbegu ya mwanaume haiwezi kukua na kuwa mtu bila processing ndani ya lab ya mwanamke
Mwanamke ni laboratory kuu ambayo inafanya uwepo wetu utokane na overy...
Mwanangu anamiaka 2 nikimchapa au akikasirika akalia lazma atapike hata kama alikula Massa 6 yaliopita.sasa sijajua ni tatizo.hasira au nyongo imechafuka
Ninajua mimi sio wa kwanza pengine kuna watu wengine humu mmesha expirience tatitzo kama la kwangu au inawezekana humu kunawataalam wanaoweza kunipa picha kidogo kabla sijaenda hospitali kubwa...
Msaada wataalamu,
Ukeni kunauma kama kunawaka moto hivi hasa wakati wa kufanya mapenzi na hata baada ya kumaliza, kila aina ya vipimo nimefanya sijapata ugonjwa wowote.
Sasa inawezekana kuna...
WanaJF habari zenu, ni miaka kadhaa tangu nioe lakini najishangaa nilivyo kwa sababu ninauchu sana wakufanya mapenzi yani mpaka mama watoto ananiletea noma.
Anasema nimezidisha maana kam ni amri...
Je, unajua Hydatidosis?
Kwa kifupi ni ugonjwa unaomuathiri binadamu na wanyama tunaowafuga kama ng'ombe, kondoo na mbuzi. Ugonjwa huu huathiri zaidi maini, mapafu, moyo, bandama na wakati...
Natanguliza shukrani,
Kitaalamu na kiafya uume kuwa mdogo sana kamawa mtoto mdogo ukilala lakini ukisimama inchi nane. Je hii ni hali ya kawaida ndugu zangu?
Msaada tafadhali
WHO update on dengue outbreak in Tanzania, Situation as of 30.05.2014
This is an update on the confirmed dengue fever outbreak notified to the World Health Organization by the Ministry of...
Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga.
Kwa ujuzi...
Hili swali limekuwa likinisumbua sana tangu nilipojifungua maana karibu watu wote wanaonizunguka huniambia kuwa sasa nitaanza kunenepa.
Je, jambo hili ni la kweli?
Au kuna uhusiano gani kati ya...
Hello, huwa nikiwa mara nyingi kwenye mtihani alafu ticha akasema zimebaki dakika kumi na sijamaliza pepa huwa mapigo ya moyo huenda mbio alafu napiga bao.
Yani huwa nashindwa kujizuia kabisa na...
Iko hivi, kuna mgonjwa aliandikiwa artesunate inj, lakini ilikosekana na badala yake akapata artemether inj. Nesi alikataa kumchoma eti hiki ni kitu kingine kabisa na walifundishwa na wizara ya...
Naomba mwenye ushauri please nimejikuta nakosa usingizi yaani ikifika saa kumi mara nyingine hata saa 9 najikuta usingizi wote umeisha na sio kwamba sikuchoka.
Nafanya mazoezi ya kutosha ili...
Je ulijua kama Kondo la Nyuma au "Placenta"?Baadhi ya wanawake wanakunywa maji yaKondo la Nyuma saa chache baada ya kujifunguaHugeuka kuwa uchafu pindi mamaanapojifungua , sasa kwa nini baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.