Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nimesikiliza kwa masikio yangu kupitia ITV Dr wa Mwanyamala Hospt akisema hayo leo usiku Naomba wataalamu mnifafanulie hili
0 Reactions
10 Replies
2K Views
We often face the problem of stomach ache when we over-eat or eat unhealthy. From babies to elders, all suffer through stomach ache and sometimes it becomes so annoying that it can spoil your...
0 Reactions
7 Replies
28K Views
habari zenu wana jf.nimetokewa na vipele vidogovidogo mgongoni,tumboni na shingoni.vinawasha mno na pia vinachomachoma hasa nikisikia joto.naombeni ushauri tafadhali nitumie dawa gani?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu! Najisikia kuwa tabibu kwa njia tajwa hapo juu. Wapi nitapata kozi hiyo na kupata cheti kitakachonihalalisha kutoa tiba?.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani ili tatizo silielewi kila ninapo vaa boxer au suruali sehemu za siri zinakua na joto sana na nikivua nguo kende yanakua yamelegea kama mlenda. Je hili tatizo lina madhara gani na je...
0 Reactions
12 Replies
22K Views
Ni hivi wana jamvi, mi nna swali, hivi hizi dawa za kuongeza uume ni za kweli au propaganda tu.u.??Surgery is risky and may not work Studies have shown that the majority of men who undergo...
1 Reactions
77 Replies
39K Views
JamanI habari za leo. Ijapokuwa ni mgeni humu jukwaani lakini naombeni msaada katika hili. katika kipindi cha miaze kama mitatu hivi mwili wangu unakosa nguvu kwa kiasi kikubwa sana hasa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
The Whiter The Bread, The Sooner You're Dead." It has been known for a long time that white bread and refined grains in general aren't particularly nutritious. Nutritionists and dietitians all...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ni mfano wa makohozi kama sio kamasi yaani imekuwa kero...... yananilazimu kuyavuta kila dakika kuptia tundu zilizomo kinywan zinanazoptsha hewa mpaka puan huwa nashndwa kuvtema kwan huwa...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Heshima mbele wadau, Nimepiga X-ray jana hapa Shree Hindu Mandal Hospital. Moja ya kipimo wanasema moyo umetanuka kidogo. Na daktari kashauri nipime kipimo kinachoitwa ECHO and EGC kwa uchunguzi...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Jamani ndugu zangu wana JF.mwenzenu tumbo langu linazidi kukua siku hadi siku.sio mimba bali ni mafuta.nifanye nini ili kuepuka hii hali.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndege alieleta barua, Akiwa ametulia baada ya kufikisha ujumbe. Tanzania ni nchi iliyoko Africa Mashariki. Ni nchi pekee yenye makabila mengi na idadi kubwa ya watu kuliko nchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, kwa wanandoa au wapenzi ambao mmoja kaathirika na virusi vya ukimwi(vvu) je wakiendelea kujamiana bila kinga nafasi ya kupata virusi ambaye ni negative ni kubwa kiasi gani? Naomba majibu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani salama humu jamvini,mtaani kwetu kuna mdada ambaye mtoto wake anatatizo la utindio wa ubongo,Je mnampa ushauri gani wa kitabibu humu jamvini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nasumbuliwa na maumivu ya jino na sitataki kung'oa mana niking'oa ni jino la pili, je naweza pata dawa na jino likapona kabisa bila kung'oa
0 Reactions
15 Replies
9K Views
nfanye nini wakuu msaada wenu >
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Nataka kununua mkanda wa kupunguza tumbo kwa monalisa nadhan wengi wetu tulishawahi kusikia ama kusoma habari zake kwenye magazeti' naomba kuuliza je dawa zake hazina madhara kiafya??? Mazoezi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar,jaman naomba msaada wa kitaalam,nina mtoto ana umri wa mwaka mmoja na miez 7,kimsingi hapend kula.Nifanye nini ili kumsaidia apende kula??
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mapaja na mikono yangu inawasha sana (imeanza tu kwa ghafla) tatizo itakuwa ni kitu gan
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninaomba tafadhali nisaidiwe ili niweze kutatua matatizo haya yafuatayo:- 1. Nina tatizo la kuwahi kuejaculate, kwani hunichukua kama dakika mbili tu baada ya kuingiza uume wangu kwenye uke...
2 Reactions
33 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…