Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari za siku nyingi wakuu. Natumai wote ni wazima wa afya. Ningependa kufahamu magonjwa yanayowasumbua watanzania kwa wingi. Hii ni kwa sababu ninasoma udaktari nje ya Tanzania na najiandaa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MATUNDA YA KUPIGANA VITA NA UGONJWA WA KANSA MWILINI MWAKO KULA HAYO MATUNDA........ UNAWEZA PIA KUTENGENEZA JUISI YAKE ....... TOP 14 ANTI-CANCER SUPER FRUITS Many types of cancer are...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu,nisaidieni tatizo langu imekuwa kama ni kawaida kila nikisha ovulate siku tano mbele yani wiki moja kabla ya periods napata maumivu upande wa kushoto sijui ni fallopian tubu au...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
meno yangu ni ya njano napiga mswaki hata mara tatu but per day but bado. Naweza kufanyaje ili yang'ae au kuna njia gani za kiswaili nifanye
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Msinitukane tafadhali, ningependa kujua juu ya hili suala maana ishu ya kutoa mimba ina madhara makubwa hasa kama imefanyika zaidi ya mara moja. Ni njia zipi au ni sehemu zipi za kumchunguza uliye...
0 Reactions
52 Replies
13K Views
Kiganja mkono wa kushoto,wayo wa kushoto,nyuma ya bega la kushoto,kuna ganzi na kuwaka moto ni nini hii? msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mke wangu ana maumivu ya kifua kwa muda mrefu sasa, na tumefanya jitihada za kuwaona waganga, hatujafanikiwa, tumeenda sekotoure, mwananchi na bugando hosp (zote hizi ziko mwanza) pote hapa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
UGONJWA WA KISUKARI NA JINSI YA KUEPUKA Kisukari ni ugonjwa ambao unasababishwa na kongosho kushindwa kuzalisha insulini au mwili kushindwa kutumia insulini ambayo inazalishwa ktk kongosho...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
NATUMIA EFRAVIRENZ & AVOCOMB : Naombeni msaada leo siku ya 28 natumia hiz dawa baada ya kupata ajari ya basi nikapewa hizo dawa nikaambiwa nitumie kwa siku 28 lakn kwenye packge vipo vya siku 30...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
naomba msaada huwa wakati mwingine nawashwa na nikijikuna panavimba na hugeuka kuwa kama jipu na tatizo hilo hutokea miguuni tu wadau namba msaada anaejua dawa na tatizo ni nini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habarin,ningependa kujua vaginal warts zinasababishwa na nin,effects zake kwa mwanamke na treatment yake
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Wadau mm naomba msaada nina tatizo la kuwanashutka moyo kama mtu mweny wasiwasi hutokea kama sekunde 3 nakujirudiarudia na mgandamizo wa damu unakuwa 105/60-85. Tatizo langu ni nn na linawezaje...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
msaada jaman mtoto anatokwa na mapele kila mara mengine makubwa km jipu uchungu. hosptal akipewa dawa yanaisha baada ya mda yanatokea mengine
0 Reactions
4 Replies
4K Views
The Path to Healing and Health Your body is designed to heal itself. It is actually quite incredible when you really think about it…I meanreally think about it. In order for your body to...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa muda wa wiki 2 nimepatwa na hali ambayo inashangaza,! Kila nikikaa sana au kulaala niliamka nasikia maumivu ya miguu kuanzia kwenye magoti hadi kwenye unyayo! Aidha nikitembea nasika maumivu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa experience yangu ndogo na research yangu ambayo nimewakilisha sample ndogo ya jinsi ya kiume na kike,sample ilikuwa na total ya watu 20, kike 10 na kiume 10,nikagundua asilimia kubwa ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Napata tabu kidogo, nasikia wanasema mkeo anakonda yawezekana tendo la ndoa halijamkubali, au manii yako hayajamkubali ndio maana anakonda, yangemkubali ungenenepa balaa. kisayansi hii kitu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu,ninaye mchumba wangu ana miaka 21 alianza bleed tar 6 feb ikaisha 10feb ila leo kaniambia bado kuna viji-damu vinatoka ukeni kwake!,wakat wa mp huwa anaumwa tumbo sana siku ya 3 ila safari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana JF kama kuna mtu anamfahamu mahali ambapo naweza kumpata daktali bingwa wa ngozi (dermatologist) anitaarifu maana fungus zinatishia maisha yangu . Ni mwaka sasa nimekuwa nikienda hospitali...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Back
Top Bottom