Kwa wataalam naomba msaada, jamani maana tumbo huwa linajaa gesi mpaka inakua kero hasa baada ya kubiga sana biere yaani unakaa bila raha.
Sasa kama kuna dawa ambayo inaweza kunisaidia kuondoa...
Habari za mida hii wadau? mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miezi kumi na moja sasa. Mwanangu alipofika miezi miwili nilimuanzisha maziwa ya ng'ombe ndipo shida ilipoanza alikua anapata homa kali...
Habari wadau,
Nina dada yangu ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo kuuma kila inapofika kwenye tarehe zake. ameolewa kama miaka 3 iliyopita ila hajabahatika kushika ujauzito. alienda hospitali...
JF Doctor,
Mimi nasumbuliwa na kitu kama kichomi hivi upande wa kushoto wa tumbo kwa muda mrefu, kama kunawaka moto lakini bila maumivu. Siwezi pia kustahamili kuwa na mkojo mwingi, naweza...
Jamani salama wadau humu ndani,nina mtoto wa dadayangu anamatatizo yafuatayo,mtoto wake anamiaka miwili na mpaka sasa ajaweza kutembea mwenyewe bali anatambaa na kusimamia kitu,Na huyo mdada...
Habari wanajamvini natumai wote wazima, mtoto wangu wa miezi 5 anakaa siku 3 ndio anajisaidia aja kubwa naombeni msaada hii imeanza baada ya mie kuanza kazi sababu namkamulia maziwa yangu yakiisha...
Habari wadau, jana jioni mpenzi wangu ameniambia anajisikia kuchomwa chomwa ndani ya uke (kichomi), nikaona nije nijaribu kupata huduma ya kwanza kutoka kwa wadau wa afya kabla hatujachukua hatua...
Nahitaji Msaada Wa Haraka WanaJF....kama una number ya simu ya Gynaecologist Wa Temeke Au Kama Wewe Ni Mmoja wa Specialist Hao,Please PM me your number.
Kama nlivyoeleza hapo juu, kama unaijua vizuri hiyo trait, naomba ueleze wapo vipi ktk mahusiano yao na watu wengine na mfumo mzima wa maisha yao, mitandao mingi ya kisaikolojia inawaelezea kwa...
kuingia kwenye mahusiano na mtu aliyeathirika na virusi vya ukimwi pale anapohitaji kujamiiana na asiyeathirika na ugonjwa huo. JE, Condom inaweza kuaminika asilimia mia moja kuwa itazuia...
Habari wana jf, naombeni msaada wenu kwa anaejua tiba halisi ya ugonjwa huu wa ngozi, ni vipele vidogovidogo hutokea hasa kwenye vidole vya mikononi, vinawasha sana.
Wana Jamvi, waswahili husema "KIZURI KULA NA WENZAKO!".
Leo nimeona niwaletee shuhuda juu ya uwezo wa VIRUTUBISHO vya EDMARK katika kutibu matatizo mbalimbali yanayotukabiri.
Naomba nisiongee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.