Ukitaka usiumwe fanya hivi kila siku:
unapo amka asubuhi kula tunda la tufaha (apple) hutoweza kuonana daktari siku nzima.
kula jani la mrehani au punje 1 ya kitunguu saumu hutapata ugonjwa...
Naleta hili kwenu mnishauri . mpenzi wangu nina miazi 3 tangutumeoana. leo kaniacha nimechanganyikiwa analalamika kuwa eti nina mtarimbokiduchu (yaani mb** ndogo) na huwa simfifikishiAljezera...
Naomba mnisaidie kwa hili maana nachanganyikiwa. Inasemekana wamba mtu akifanymapenzi sana mara kwa ara anawza kuepuka matatizo ya moyo, presha, sukari n.k. Sehemu nyingine inasema kuwa mtu...
Mambo 5 yanayoweza kuDhuru Ubongo wako.
Kukosa Kifungua Kinywa asubuhi
Watu wanaokosa kifungua kinywa asubuhi wanapata upungufu wa kiwango cha sukari kwenye damu. Hii husababisha upungufu wa...
Jamani napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa dokta mzizimkavu na madaktari wote wa JF, japo sikuwahi kuleta uzi humu jukwaani lakini nilikuwa najitahidi sana kufuatilia kwa ukaribu miongozo yao...
Habar zenu wanajamvi.
Mimi nimekua na tatizo la kutaka kujiua mara kwa mara.
Ninapoishi nakaa kwa ndugu yangu, huyu ndugu yangu amekua na tabia ya kuninyanyasa na saa ingine kunidhalilisha...
Wakuu,
Nina changamoto hapa ambayo naiona. Mke wangu ni mjamzito na Mungu akipenda tunategemea mwezi wa tano, anafanyia kliniki hospitali ya Aga Khan na tunakaa Mbezi mwisho.
Sasa kutokana na...
Juzi niliambiwa kuna kipimo cha kumeza kipira juu ya maumivu ya kifua na tumbo, nilikua namuulizia matibabu kaka yangu analalamika sana juu ya kifua na maumivu tumboni nikaelekezwa niwaone...
Wana jamii, hivi kuna sabuni amabyo ukiitumia mbu wanakukimbia? Maana nafahamu kuna "mosquito spay" ukijipulizia mbu hawa kugusi.
Je kuna sabuni ambazo ukiogea mbu hawakugusi?
Salaam za dhati wakuu nakumbuka zimepita siku nne toka nizamie sasa leo nashanga koo yangu imekuwa nzito yaani nabanja hovyo mpaka najishtukia, wakati si kawaida yangu sasa sijui ndo tayari maana...
Hapa nilipo naumwa malaria kweli kweli almost for 3days.Nitumie mbinu gan ya asili hasa aina ya matunda niweze kupona??NAENDELEA NA DOZ YA MAJI YA UVUGUVUGU.Asanten
By Innocent Anguyo
IN a bid to prevent her from contracting HIV, the baby who was allegedly exposed to the virus after a nurse injected her with HIV-infected blood has been put on preventive...
Mimi nauza products za FOREVER LIVING kwa wateja wa products hizo. Leo nimefuatwa na mwanaume mwenzangu mmoja faragha, akaniomba nimsaidie dawa ya tatizo alilonalo. Tatizo lake ni kuwa kila...
KUKUTANA KIMAHUSIHANO NI JAMBO MOJA, ILA KULIZISHANA NI JAMBO JINGINE, KWASABABU KULIZISHANA KUNAITAJI, UWELEWA USANIFU WENYE UBUNIFU, NA UWEZO TIMILIFU WA KUFIKISHANA KILELENI, SISI TUNA SHAURI...
habari za muda huu wakuu,
kuna swali ambalo naomba ushuri toka kwenu na swali lenyewe ni!
kuna ndugu yangu amejaliwa kupata mtoto ila ahisi kuna tatizo coz mtoto
akilia kitovu kiakuwa kirefu na...
Nimetembelea hospitali nyingi kama muhimbili na mwananyamala kwenye vitengo vya kisukari na nimeona watoto wengi jinsi walivyoathirika na kisukari inasikitisha sana hasa nikiwa najua naweza...
1. Not all sperm are made equal: As much as a man would love to have millions of perfect little guys, the fact is that many of them are deformed. We're talking two heads, two tails, squiggly...
Post-exposure prophylaxis ( PEP) ni dawa za kuzuia maambukizi ya VVU,nilianza kumeza tarehe 18/1/2014,nilienda kupima tarehe 23/2/2014.
Nikakuta sina maambukizi lakin bado sijiamini Hivi mnaojua...
Nahitaji kununua microscope nzuri kwa ajili ya matumizi ya maabara ya zahanati. Mwenye utaalamu naomba anisaidie specifications za microscope ya kiwango kizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.