Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Siku hizi umezuka mtindo wa wengi wa vijana kugeuza simu wakati wa kupiga au kupokea. Imekuwa kama fasheni. Kwamba akipokea kwa njia ya kawaida eti hasikii vyema. Tunaelewa kuwa yapo madhara...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
NESI ALIENIANGALIA ANASEMA SIJASHONWA VIZURI KWA NDANI NA NJE Nimejifungua kwa njia ya kawaida na niliongezewa njia mtoto wa kwanza. je ni tatizo kubwa sana la kupelekwa thieter na kupigwa nusu...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Cucumbers are number four most cultivated vegetable in the world and known to be one of the best foods for your overall health, often referred to as a super food. Pick a handful of firm, dark...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Reasons You Should Start Eating Cucumber...
5 Reactions
16 Replies
6K Views
Jaman mimi ni kijana mwenye miaka 29 nikiamka asubuhi uume wangu unakuwa umelala badala ya kusimama nn tatizo?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,na poleni na majukumu ya wiki nzima. Naombeni msaada,jamaa yangu anawashwa sana anapooga au hata kufulia maji ya mvua. mwili unatoa vijiupele utadhani kawashwa na kiwavi,hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wana Jamvi. Ninaomba msaada juu ya hili. Nina mpenzi wangu uke wake huwa mkavu sanaa hata umfanye nini hatokwi na ule ute ute. Na mkitaka kufanya mapenzi uume hauingii mpaka utumie...
1 Reactions
84 Replies
19K Views
Wadau, Mimi na mwenza wangu tunatarajia kupata mtoto wetu wa kwanza mwishoni wa April, au mwanzoni nwa May Mungu akijalia. Kwa sasa mama anafanyia clinics pale Marie Stopes, Mwenge. Hatuna...
1 Reactions
16 Replies
10K Views
Kuna upele ulinitoka na unawasha sana na baadaye hiyo sehemu ikawa nyeusi. je ni ugonjwa gan naomba msaada ?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, usisite kuni pm kwa tatizo lolote ulilo nalo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekua nikisumbuliwa na masikio huu mwiaka 8 sasa kila nikienda hospitali naambiwa nina uvimbe sitokwi na usaha ila kila nikisafisha masikio yanauna sana na hata nikiweka dawa hata nikae masaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana nikiwa njiani kutoka kazini. Nilipanda bus pale magomeni. Tulipofika kinondoni mkwajuni aliingia mdada mtanashati kwenye bus na kuketi nami. Kwa kuwa nilikuwa nikila korosho sikuwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna hali hunitokea nikifuruliza kupata moja moto moja baridi kwa takriban wiki moja hivi lazima nitapike nyongo, Je hii husababishwa na nini?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wana jamvi wasalaam . Nina mdogo wangu umri miaka 12 . tatizo lake ni kung'ata ng'ata meno yaani na sauti yanoyotoa ni hatari sio ya kawida anakuwa kama ana ya sigina hv . na hali hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tumbo likiuma sana kupita maelezo wakati unanjaa...lakini pale tu unapokula, haliumi tena. Hii hali inasabaishwa na nini? Naombeni msaada wenu sababu inanitesa sana.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau hivi mtu anapaswa kupata choo Mara ngapi kwa siku? Maana mid kwa siku najisaidia Mara 2 mpaka 3 nashangaa watu wengine wanasema eti naptia siku mbili hawajapata choo. Je naweza kuwa na matatizo
0 Reactions
8 Replies
13K Views
Magonjwa ya Zinaa - 3: Ugonjwa wa Kaswende (Syphilis) na Madhara yake...
2 Reactions
5 Replies
65K Views
Wana jamii, Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali
5 Reactions
84 Replies
13K Views
Vyakula 7 vyenye Faida kwa Ubongo na Akili yako! Zabibu: Husaidia kulinda ubongo dhidi ya kupungua uwezo wa kumbukumbu. Samaki Husaidia kuongeza uwezo wa Ubongo katika mawasiliano...
9 Reactions
33 Replies
14K Views
Back
Top Bottom