Wanawake wengi wamekuwa wakipatwa na matatzo mbalimbali ikiwemo uvimbe.
Uvimbe wa tumbo umekuwa ukiwasumbusana wanawake wengi,uvimbe huu ukikaa kwa mdamrefu bila tiba hukomaa na kupelekea...
Mimi nasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya chakula,mwili kuchoka,kuhisi kichef chefu;naomba msaada,je,nasumbuliwa na ugonjwa gani pamoja na tiba yake,.
Mambo 5 yanayoweza ku Dhuru Ubongo wako.
Kukosa Kifungua Kinywa asubuhi
Watu wanaokosa kifungua kinywa asubuhi wanapata upungufu wa kiwango cha sukari kwenye damu. Hii husababisha upungufu wa...
Matatzo ya kibofu cha mkojo yamekuwa yakisumbuasana watu wengi.mara nyingi matatzo haya hugawanyika ktk makundi makuu mwawili.(1)-MKOJO KUTOKA MFULULIZO/MARA KWA MARA.(2)-MKOJO KUTOKA KIDOGOKIDOGO...
Habari wanajf?!
Nakumbuka nikiwa mdogo nilipokuwa nikiugua, nikimeza dawa za anti biotic nikikaribia kupona basi nilikuwa nawashwa sana karibia mwili mzma hali hii ilikuwa ikinitesa sana kwa...
Ni njia gani ya haraka ya kuondoa kiungulia!
Kiungulia au Heartburn
Kiungulia au Heartburn kwa kimombo, ni miongoni mwa mabadiliko ya ujauzito yanayowatokea baadhi ya akina mama. Tatizo hilo...
Habari wakuu...naombeni mnijuze kitu kimoja kinanikwaza hapa....nimekuwa na mahusiano na wadada tofauti kwa wakati tofauti pia,..kila baada ya kufanya mapenzi kesho yake lazima mdada aniambie...
Kwa Mtoto Aliyechelewa Kugeuka Tumboni Ni Njia Ipi Ya Haraka Inayoweza kumfanya Ai-engage Tayari Kwa Kuzaliwa?
Experience Yenu Na Uhuzi Wenu Ndio Nautegemea Zaidi WanaJF!
Habari za jumapili nduguzangu!
Kuna hali inatokea kwakichanga wangu ambayo sijawahi kuiona kwa watoto waliomtangulia!.
Nikwamba mtoto ni wakike na leo anatimiza siku ya tano'' sasa kitu...
Magonjwa yatokanayo na maambukizo ya hewa na kinga yake.
FUNGU hili la magonjwa linajumuisha magonjwa yote yatokanayo na utumiaji wa hewa toka kwa mtu mmoja hadi mwingine. Msingi wake mkubwa ni...
Habarini wana Jamvi.
Ninaomba msaada juu ya hili.
Nina mpenzi wangu uke wake huwa mkavu sanaa hata umfanye nini hatokwi na ule ute ute.
Na mkitaka kufanya mapenzi uume hauingii mpaka utumie...
Kuondoa damu chafuNi tiba na kinga mzuri sana mzuri sana kwa maradhi mengi,hufanywa kila tarehe za mwisho wa mwezi,lmefundishwa vizuri sana katika mafundisho ya kiislam na mtume wao..kwa wenye...
Wadau,
Nina mtoto mwenye miaka 3 anasumbuliwa sana na maradhi ya mifupa kiasi ambacho miguu yake imeanza kukukosa nguvu na mara kwa mara anekua akîlazwa.
Naomba msaada kama kuna ushauri wa...
Habari wadau...
Binafsi ki afya nimejawa hofu...Kama siku tano zilizopita,kwenye jicho..pale meet up ya iris na white part of eye..imezunguka a coat of white translucent coat yan inafanya macho...
Habari zenu wakuu. naomba msaada kdogo juu ya hili,je nikiwa na qualifications kama hzi (1 na 2 apo chini)kwa TANZANIA naweza enda somea degree-doctor of medicine(MD)
1>Ufaulu mzuri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.