Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

nini chanzo cha huu ugojwa wa musimu? nauita wa musimu kwa kuwa huja na kutoweka, macho yanakuwa mekundu, na ukimwangalia mwenye tatizo machoni nawe unakuambukiza, mwenye kujua atujuze,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba ushauri kwa wataalamu mana jambo linanitia hofu sana. ni kwamba mke wangu amejifungua kwa operation miezi sita iliyopita sasa tumegundua amepata mimba nyingine wakati afya yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa Namshukuru Mungu nimejifungua mtoto wa kike tarehe 12/1 lakini nilipasuka msamba namaanisha alinichana sababu alizaliwa na kilo tatu na nusu na ni mara yangu ya kwanza...
1 Reactions
19 Replies
35K Views
Habari wana jf wenzangu mm n kijana mwenye umri wa miaka 18 nasumbuliwa na tatizo la kutoa uchafu mweupe wenye utelezi ambao hauna harufu kwenye uume baada ya kukojoa ila wakati nakujoa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
eti dalili za magonjwa ya zinaa in general yanachukua maximum ya mda gan kwa mwanaume kwa dalili kuanza kuonekana
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Habari wana JF! Naombeni kujua (sina hakika kama limeshawahi kuzungumzwa humu) , Je kama unapenda kutazama mara kwa mara pornograph na mmeo /mkeo kabla ya kudo ina madhara yoyote kiafya?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Natamani kujua kama ni mjamzito lakini naogopa kupima mana nimekuwa nikijaribu kushika mimba kwa miezi sita bila mafanikio. Mzunguko wangu ni 28 days last month nilipata Mp tar 14, nilifanya sex...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kawaida kwa watoto kulia. Hata watoto wanaozaliwa na afya njema kabisa wanaweza kulia kwa jumla ya wastani wa kati ya saa moja mpaka matatu kwa siku. Kwa vile watoto hawawezi kujifanyia...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwanza shikamoo daktari/Mtaalam/Mwenye kujua utatuzi wa shida hii. Habari za huko nyumbani. Natumaini hujambo. Mimi ni kijana wa miaka 32. Nina tatizo kwamba macho yangu yana mistari mingi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari JF Dr's naombeni kujua etii kutosogea kwa kondo la nyuma katika mfuko wa uzazi laweza sababisha mimba kutoka? Na nini husababisha hali hii kutokea na nini kifanyike ili kusave mimba...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Clinical officer anahitajika,mwenye ujuzi wa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Tuma ujumbe 0712488125 nitakupgia.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Health experts have causioned the public to be more vigilant now that it has been found that all mosquitoes spread elephantiasis. The national Neglected Tropical Diseases (NTD) Coordinator, Dr...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina matatizo ya kutokwa na jasho jing mwlin wakat mwingin ucku cwezi kulala nikuw nimevaa kaush, nikvaa lzm nivue uck wakt mwingine jasho lanichom shingon kama mtoto mdogo natokwa mapele jaman...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Oral Sex (kwenda chumvini & Kulamba Koni) kunakuweka katika hatari ya kupata Kansa ya Koo, eg. Oesophagus Carcinoma or Squamous Cell Carcinoma. Hii hutokea pale utakapopata kirusi kinachoitwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JF members, Could somebody assist on this prevailing embarrassing situation my much-loved daughter is undergoing? My daughter is a boarder at a certain school in southern highland, I do not...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimesoma forwarded msg moja kwenye email yangu na nikakuta ina story sijui ni kweli ama nini yasema kuwa kuna mtoto wa miaka 10 alipata ukimwi kupitia tunda nanasi ambapo muuzaji mwenye UKIMWI...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Umesema mambo ya kweli mifumo yetu iliyopo haitoi nafasi ya kuuelimisha umma wa watanzania ili kujikinga na maradhi, bahati mbaya hata sisi wahudumu wa afya ambao tunaelimishwa kwa fedha za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF msaada wenu nauhitaji. Nikivaa viatu vya kutumbukiza nyayo zangu zinakuwa poa. Ila nikutamani kuvaa open shoes kwa siku tatu tu ni shida! Nyayo zinakuwa kavu sana na zinakatika nakuuma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada wana JF siku za karibuni nimekuwa napatwa na hyo hali ya tumbo kuunguruma pindi tuu ninapolala ila haliumi, sasa sijui tatzo nini? Msaada wenu.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni kweli Oral sex husabisha saratani ya koo kwa kiasi kikubwa? Na mimi nilishafundishwa kwenye somo la Afya nilivyokuwa sekondari kuwa saratani ya Koo husababishwa na uvutaji wa sigara na unywaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…