Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

IKUMBUKWE kwamba, kutokwa na majimaji au ute katika via vya uzazi vya mwanamke ni jambo la kawaida wakati ambao mwanamke bado ana umri wa kuzaa, ikiwa ni sehemu ya mwili kuondoa sumu. Ute huu...
0 Reactions
4 Replies
36K Views
naomba kusaidiwa nifanyeje tumbo langu lirudi kawaida nilijifungua kwa operation limekuwa kubwa kama bado nina mimba :mimba:
2 Reactions
9 Replies
7K Views
niliwahi kupost humu ndani kuhusu mwanangu mwenye matatizo ya miguu na madaktari wwalikuwa wameshauri akatwe miguu lakini tunamshukuru Mungu kwa ushauri wenu tulimpeleka CCBRT amefanyiwa operation...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Dr forum naomba unisaidie mwanangu anatoka vipele vikavu kama rushes then vya mviringo anahoma, anawashwa na pia vinawasha.
0 Reactions
1 Replies
13K Views
Ugonjwa wa Nephrotic syndrome ni hali ya maradhi inayokumba figo na kusababisha kupoteza kiasi kingi cha protini kutoka kwenye damu kuingia kwenye mkojo. Kiasi cha protini kinachopotea ni...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari. Elimu ya Uzazi kama inavyoeleweka, Inanipa wakati mgumu kuielewa, Majarida mengi pamoja na watunga sera za Uzazi hutoa taarifa zinazokinzana, Taarifa nyingi zilizopo kuhusu Uzazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikiwa kwenye basi nilikaa na mgavi(distributor)kutoka kampuni ya Amezcua wenye anuani hii www.qnet.net. Amenionesha bidhaa mbalimbali za asili akisema hayina madhara. Baadhi ya bidhaa hizo ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeenda kupima general body health na niliambiwa PH yangu inatofautiana kwa kiwango kikubwa sana yaani acid ni nyingi kuliko alkali,na pia nina urefu wa cm 164 na ni kg 66 lakini nimeambiwa moyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna tiba nyingi za kitabibu,zilizogawanyikaa katika makundi mbalimbali. Kuna zile za hospitali ambazo ni lazima zinunuliwe, lakini kuna tiba ambazo kwa ushauri wa daktari hata wewe unaweza...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Habari waungwana, Ninatatizo nimeanza kuliona kwa mwanangu ambaye anajifunza kutembea kila anaposimama miguu yake inakaa upande na awi stable. Nilitaka kujua je ili ni tatizo au ni kawaida, na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa maelekezo yaliyotolewa na Chuo Kikuu Cha Marekani cha Masuala ya Uzazi na Magonjwa ya Wanawake, mama mjamzito haruhusiwi kufanya mazoezi iwapo atakuwa na matataizo yafuatayo...
2 Reactions
4 Replies
18K Views
Mbali na faida kemkem tunazozijua zinazopatikana kwenye kahawa, utafiti mpya umesema kwamba kunywa kikombe kimoja tu cha kahawa kwa siku kunapunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa moyo. Utafiti...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Nimeanza kufanya mapenzi mwaka wa tano sasa lakini sijawahi kutoa shahawa (kufika kileleni) hata nifanye tendo la kujamiana muda gani. Hili ni tatizo au ni uzembe wangu??
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari zenu wapendwa.... Naimani humu nitapata msaada ....... mimi nilikuwa naumwa typhoid na amoeba was result from hospital nikapewa ciproflucenllen na secnidazole(siku mbili)na nyingine...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu ana mabaka kwenye ngozi(ngozi inakuwa nyeupe kama albino) ambayo ukiyaangalia kwa haraka unaweza sema ana ukoma ila tofauti ni kwamba hapati maumimivu wala muwasho na midomo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jaman naitaji kuongeza uume wangu kwani ni mdogo je nifanye nn ili uwe mkubwa
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habarini zenu! Naomba kujua jinsi ya kupima kiwango cha mafuta mwilini. Kuna mtu kasema kuwa unatumia tape measure ila maelezo yake hayaingii akilini. Anasema unapima...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna tiba nyingi za kitabibu, zilizogawanyikaa katika makundi mbalimbali. Kuna zile za hospitali ambazo ni lazima zinunuliwe, lakini kuna tiba ambazo kwa ushauri wa daktari hata wewe unaweza...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wandugu habari zenu. Mke wangu ana mabaka meusi usoni, aliyapata kipindi akiwa na ujauzito yapata miaka mitatu sasa. Amehangaika sana kuyaondoa lakini wapi. Hajawahi kutumia cream yoyote. Na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf naomba kujuzwa ni wapi nitapata clinic ya kupima macho kwa kiwango kizuri. Mzee wangu anajitaji huduma ya kupimwa macho haoni vizuri. Natanguliza shukurani!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom