According to studies that were published in an issue of Life Sciences, artemesinin – a derivative of the wormwood plant used in Chinese Medicine - can kill 98% of breast cancer cells in less...
Habari wana jamii forum. Mim Nina ujauzito wa miezi 6 na juz nilipiga utra sound nikaambiwa kondo limetangulia Mbele. Sasa nauliza je kuna madhara gan kondo kutangulia Mbele?au natakiwa nifanye...
Habari wana Jf . Nina mimba ya miezi minne naona siku zangu kama kawaida. Kwa sababu siku zangu nilikuwa naziona ilinichukua miezi mitatu kujua ninayo kwa sababu tumbo lilikuwa linazidi kuwa...
Ninalo swali...Je kwa mfano nimefanyiwa transplant ya moyo kutoka kwa mtu alaiyekua jambazi...Je kuna uwezekano wa mimi kuwa jambazi?
Kuna stori nimeisoma hapo chini ime probe kuuliza swali...
Hi Guys.
Advice please.
I started my period tarehe 6 Jan-10jan.
Mzunguko wangu ni 28 days, then tarehe17 nikafanya unprotected sex [(with a pull out method,;((big thigh)]
then tarehe 25jan. i...
Wadau habari,
Kama hapo juu panavyojieleza napenda kujuzwa hospitali nzuri mwanza ambapo naweza kumpatia huduma kijana wangu! Kama ipo sehemu wanayotoa huduma hiyo kwa njia ya kuvisha kimpira...
Nina Kama mwaka mmoja sasa hivi naumwa sana miguu(makanyagio). Iko hivi, kila ninapoamka asubuhi nikikanyaga chini makanyagio yanauma sana na ili nitembee lazima nishike ukuta. Pia nikikaa muda...
Wana Jf.
Mke wangu ni mjamzito kwa sasa. Ajabu ni kuwa ana tatizo la kutokwa damu sehemu zake za uzazi, tatizo ni nini? Anatakiwa kufanya nini?
Tafadhali naombeni ushauri wadau.
Asanteni.
Dating a doctor definitely has some major benefits. Lets look at a few of the reasons to date a doctor!
1. Theyre smart- They went through A LOT of schooling to get where theyre at. They had...
ni vyema tukaelewa namna gani hisia zetu zinaweza kuwa na matokeo chanya au hai katika sehemu za miilii yetu ili kujitahidi kuwa na hisia sahihi kila wakti.
tafadhali pitia kwa makini ambatanisho...
Mdogo wangu ni mjamzito anakaribia 7month now,juzi kaenda clinic akacheki ultra sound na dr akamuambia mtoto hajageuka amelala kiupande.
Dokta akamuambia arudi after 6 weeks amcheki tena kama...
Tatizo langu me ninapolala tu usiku huwa nikaamka asubuhi huwa najikuta nimetokwa na nyege sasa ila tendo me silipendi sasa nilikua naomba ushauri nifanye nini ili kisinitokee tena hicho kitu
Jamani ndugu zangu wanajamvi nilikuwa naombeni msaada wenu. mimi bwana nikivaa viatu hata kwa nusu saa nikivua huwa kunakuwa na harufu kali sana, sasa nashindwa kuelewa tatizo nini na ni vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.