Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini za kazi na miangaiko ya maisha wana jamvi, tafadhalini naomba kujua ni sababu gani zinaweza kumfanya mtoto asiongezeke uzito? Mfano mwanangu anamiezi 4 na wiki2 lakini tangu akiwa na...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Salaam ndugu zangu, Naomba kuwauliza madokta wa humu jamvini je kuna madhara yeyote kwa mjamzito kutumia amarula? Naomba pia kupata ushauri vinywaji gani naweza tumia visinidhuru mimi na mtoto...
0 Reactions
75 Replies
14K Views
chaguwa mwenyewe ule chakula kipi hapo?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa mm ni mgen naomba mnikaribishe...!! Lkn pia nilikuwa naomba msaada wa kujua lishe bora ya mtt wa miez nane. mana mtt wangu hatak kunyonya sasa mwezi uliopita amepungua...
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Mimi ni kijana wa miaka 33. Nasumbuliwa na kifua (kukohoa) kwa takribani miezi miwili sasa. Hilo tatizo liliwahi kunipata mwaka 2012 nikatibiwa nikapona. Sasa limejirudia tena. Hatua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jf . Tumbo langu linazidi kuwa kubwa. Nimepima mkojo mimba sina na period naenda kama kawaida. Naomba kujua kama inawezekana kuwa na mimba na vipimo havionyeshi.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Salaam wanaJF! Niliwahi sikia kuwa ktk kila mwanamke mmoja kati ya watano ana tendency ya kuachia fluid (mkojo?) kidogo ktk pichu yake kiasi cha 1/2 kijiko kidogo cha chai pale anapofanya haya...
0 Reactions
84 Replies
12K Views
.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani wakuu naomba msaada mtoto anatokwa na majipu usoni na kichwani, naombeni msaada tatizo litakua nini na ni nini tiba yake
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana jf, kuna ndugu mmoja wa familia yangu ni mjamzito ila anatatizo lakuumwa na kichwa sana mpaka anakua hajielewi, hua anatumia dawa za hospital, sijajua kama kuumwa huko kuna uhusiano...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
habar, nina tatizo la kutojisikia raha pindi nifanyapo tendo la ndoa na ki ukwel limekua ni tendo ambalo limenifanya mpaka niwe mbal na wanawake laweza kua lilisababishwa na historia yangu ya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII MWANAMKE AOZA MAKALIO YALIYOSABABISHWA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO Adha hii imempata mwanamke huyu baada ya kuanza kuona ngozi yake imeanza kuwa laini...
3 Reactions
20 Replies
28K Views
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na jambo flani ambalo nahic litantia wehu uko mbele nahitaji kukutana na mwanssaikolojia ili anisaidie kulitatua kwa yoyote anayemjua daktari wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
plz ninaomba kujua niwakati gani ukifikia kwa mama mjamzito haruhusiwa kufanya tendo la ndoa na pia katika kufanya kuna kiwango chochote au umakini wowote unaotakiwa zaidi wakati wakufanya ili...
0 Reactions
12 Replies
20K Views
Kwanza kabisa ndugu zanguni wana Jf nawatakia heri ya mwaka huu mpyaa!,unaogawanyika.Haya niende kwenye mada nisiwachoshe ndugu zanguni;Jamani nawaomba wale ndugu zangu madaktari tulionao humu jf...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Msaada wana jf tatizo la kupata choo (haja kubwa) husababishwa na nini ? Au choo kuwa kigumu. Ni maji na matunda tu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amani na upendo uwe juu yenu. wakuu ninapatwa na makohozi mara tu niamkapo asubuhi na makohozi yenyewe yapo kwa ndani kabisa ya koo na huwa si mengi na wala sina kikohozi. kero yake yanakuja...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Amani na upendo uwe juu yenu. wakuu ninapatwa na makohozi mara tu niamkapo asubuhi na makohozi yenyewe yapo kwa ndani kabisa ya koo na huwa si mengi na wala sina kikohozi. kero yake yanakuja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
:whoo::whoo: Dar es Salaam.Timu ya Watafiti katika Chuo Kikuu cha North Carolina nchini Marekani, wamegundua aina ya sumu ambayo ina uwezo wa kuua seli ambazo zimekwishaathiriwa na Virusi Vya...
2 Reactions
83 Replies
16K Views
Back
Top Bottom