Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

bhana naomba msahada wenu mimi ninatatizo la nguvu za kiume,ninapo fanya mapenzi na binti wa kike napiga bao mbili tu,zaidi ya hapo ume wangu haufanyi kazi tenaa,ndugu zangu naomba msahada kupona...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari wana jamvi, kwanza niombe radhi sababu sinahakika kama uzi huu wafaa uwe jukwaa hili. Pili ,kiukweli naomba ushauri wenu ni njia ipi nitumie ili niweze kumuachisha mwanangu ziwa,anakaribia...
1 Reactions
28 Replies
20K Views
Kuna mashine inaitwa sergion naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kifaa hiki nimesikia kuwa kina tibu magonjwa yote yasiyo ya kuambukizwa, je madhara yake kwa kutumia hiki nina vidonda vya tumbo...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Jamani nisaidieni mwenzenu break ya mkojo imekata, ukinibana unatoka hata kabla sijafika toilet na unatoka kidogo baada ya muda mfupi unanibana tena. Imefikia mahali naogopa hata kwenda kazini...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
YAPO madhara ya ugonjwa wa kisukari katika mwili wa binadamu na moja wapo ni ugonjwa wa figo (diabetic nephropathy) pamoja na ukosefu wa nguvu za kiume. Matatizo haya huwapata watu wenye...
0 Reactions
0 Replies
36K Views
Madaktari naomba mnisaidie dawa ya kibofu cha mkojo kwa mzee wangu. Anakojoa kwa shida sana. Kuna ushauri alikuwa amepata kuwa inabidi afanyiwe upasuaji. Lakini cha kusikitisha ni kwamba, wazee...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hello Jf members! Mimi ni mwanaume,aged 23. Kwa muda sasa,wakati wa kukojoa mkojo hutoka kwa matone matone,tofauti na hali ya kawaida ya wanaume,ambapo mkojo hutoka as a stream. Naombeni msaada...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Maumivu makali ya kichwa kipindi cha ujauzito. Shida inaweza kuwa nini na nini tiba yake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Tatizo langu ni kuwa na mba wanaojirudia rudia,nikitumia dawa wanaisa na baada ya mda mchache wananirudia tena. nimewahi kutumia dawa za vidonge (sijui zinaitwaje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wandugu:nahitaji vidonge vya lycopene kwa anayefahamu,au ntapata kwenye pharmacy ipi?....asanteni
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Habarini madokta? Mimi jamani ni wiki sasa tangu nianze kupata matatizo katka koo, lilianza kuwa kavu, mara kuwashawasha na kuchomachoma mwisowe madonda mpaka leo.... Kilichofuata ni mafua na...
0 Reactions
5 Replies
13K Views
Colon cancer is cancer of the large intestine (colon), the lower part of your digestive system. Rectal cancer is cancer of the last several inches of the colon. Together, they're often referred to...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
bila shaka mu wazima wa afya,jambo ambalo linanitatiza na kuniumiza akili ni kuwa kuna wakati nawashwa sana katika korodani hali ambayo hupelekea eneo hilo kubabuka.Hali hii hutokea kwa nyakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnisaidie kama hiki kitu kinawezekana na hivyo wote kuwa salama kwa magonjwa?
2 Reactions
31 Replies
10K Views
Mtoto wangu wa kiume ana umri wa miaka 3 na nusu, huwa anakuwa na nose bleeding sometimes. Haina formula huwa inatoka wakati wowote tu hata usiku. Kwa wiki anaweza toka kama mara mbili au tatu. Ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu asishike mimba. Sababu hizo zinaweza zikawa zinamhusu mwanamke, mwanamume au wakati mwingine kutojulikana kabisa hali hiyo imesababishwa na nini...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wadau Mimi ni jinsia ME na umri 27 Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kuchafuka na kichefu chefu kikali. Kila asubuhi mara nyingi tumbo linachafuka hapo naweza jiskia kwenda haja nikienda...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Vipele vigumu kwenye uume vimenitokea havitoi maji wala vitu vyeupe alafu nivigu vinakwaruza nimeenda kupima. Nikapimwa vipimo vya RPR majibu nikapewa NON REACTIVE nikapima na PITC majibu yakaja...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Yaelekea dawa ya UKIMWI sasa iko jirani sana kugundulika na kumaliza kabisa gonjwa hili baya. SOMA HII. Kwa ufupi Itamsaidia mwathirika asitumie Dawa za Kurefusha Maisha(ARVs) maisha yake yote...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom