Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

naomba mnijulishe dawa ya kumpatia my wife, anakosa usingizi tangu ujauzito ulipofika mwezi wa saba ....
1 Reactions
22 Replies
24K Views
Naomba maaada kwa tatizo alilonalo binti yangu. Anapofika wakati wa MP anaumwa sana kichwa. Anapata homa kali anatapika na wakati mwingine kupoteza fahamu kwa muda. Nilishampeleka Hospital...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naombeni mnisaidie nina tatizo la uzito kuongezeka na nina hitaji kupunguza ila kwa njia ya chakula au kama kuna mtu anaweza niambia nitumie mpangilio upi wa chakula kwa sababu nakosa muda wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habayi za Mapumziko ndugu, poleni na majukumu. Mimi ni baba wa mtoto wa kike wa umri wa siku 30 ( mwezi mmoja) hajapata choo leo ni siku ya 7 (wiki),na anatumia maziwa ya mama. Tatizo nini...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habayi za Mapumziko ndugu, poleni na majukumu. Mimi ni baba wa mtoto wa kike wa umri wa siku 30 ( mwezi mmoja) hajapata choo leo ni siku ya 7 (wiki),na anatumia maziwa ya mama. Tatizo nini...
0 Reactions
24 Replies
21K Views
Mimi ni mwanafunzi nasoma medicine ngazi ya diploma kinachonisumbua ni kumaster diseases na dawa zake ikiwemo na dosage yake. Namna gani ninaweza kuzishka? Nisaidieni tafadhari najua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamn period yangu imenibadilikia ghafla inatok damu nyeusii nzito nashindwa kuelewa nin tatizo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam WanajF!! nina mtoto wa miezi 11 na yupo kwenye stage ya kuota meno fizi zimevimba kila nikipima joto inacheza kwenye wastani wa 39, alilazwa akala dozi ya quinine, ampicilin, getamycin na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mzizi mkavu et al... natafuta herbal aina ya "tribulus terrestris" kwa tanzania ni wapi inapatikana na bei....ni pm. asanteni
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwanini watoto wadogo wa kiume wanaweza rusha mkojo (wakati wa kukojoa) umbalimrefu hadi mita nne (4) wakati watu wakubwa (wanaume) hawawezi? Tena wengine asipo panua au...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wandugu. Ninaomba msaada wa kujua wapi ntapata Daktari wa ngozi kwa Dar. Ngozi yangu imekua inaharibika hasa usoni natoka na mapele chunusi si chunusi. Nimejaribu dawa mbalimbali lakini...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wana Jf! Ni miezi sita tangu nianze kupata maumivu kwenye kichwa cha uume.nimetumia dawa kwa ushauri wa daktar wakidai ni UTI Baada ya kufanya cultural sensitivity pale KCMC.dozi ya mwisho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni nini kinasababisha aina mbalimbali za mifuzi?Ipo inayonuka na isiyonuka,ipo yenye milio na ya kimyakimya
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna wakat nikilala usku najishangaa ulimi unanikauka kabisaa yan unakua mkavu je ninaweza nikawa natatizo gan?
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Habari wadau natumaini mmeanza wkend yenu poa... Inapokuja swala la afya kuna sehemu ambyo tunaisahau mpaka upatwe na tatzo ndyo unaanza kuhangaika je unajua sehemu zako za siri ni sawa na uso...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi JF Doctor! Jamani mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa ikitokea mtu mzima akanywa maziwa ya mama anayenyonyesha huwa anapatwa na tatizo la kunyofoka nywele na kukonda kupita kiasi, je jambo...
0 Reactions
31 Replies
11K Views
jamani naombeni msaada wenu kwa yoyote yule anayejua dawa ya kuongeza na kurefusha umme kwa kwa kutumia dawa ya asali. msaada tafadhar!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari zenu. najua wengi mtakubaliana na mimi kwamba kiungo pilipili ni mojawapo ya vitu viletavyo hamu ya kula. lakini kuna wengine wanasema pilipili sio nzuri kwa afya, na wengine usema ni dawa...
0 Reactions
26 Replies
16K Views
Wananchi wa Kenya wameshangazwa na taarifa ya mwanamumemmoja aliyezinduka akiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitalimoja mjini Naivasha umbali wa kilomita tisini kutoka mji mkuu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
madokta hivi mtoto wa miezi 3 anaweza kupata ugonjwa wa UTI kweli???,nisaidieni jibu la hili swali madokta
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom