Juzi nilimpeleka mtoto kwenye kituo cha afya maarufu sana hapoa moshi,ila wakati nikiwa kwenye chumba cha dakatri nikaona pembeni yake kuna karatasi mbili zenye kichwa cha habari;DAWA AMBAZO...
habari zenu wakuu? ni matumaini yangu kuwa, mu-wazima wa afya kabisa!
wakuu, nina dukuduku juu ya aina hii ya maziwa, yaani maziwa mgando!
kwa jinsi inavyosemekana, maziwa mpaka yafikie hatua ya...
Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa ya kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na yenye mahitaji makubwa katika jamii.
-
Waganga wa kienyeji...
habari zenu madaktari humu, mwenzenu hivi karibuni najisikia kuchokachoka na kupatwa na usingizi kila mala, maleria sina wala homa yoyote ila tu mwili unakuwa wa kuchokachoka tu, nini sababu ya...
Matumizi ya asali ni mazuri kwa afya yako lakini ikiwa tu utatumia ASALI HALISI na sio asali ILIYO CHAKACHULIWA. Ukitumia asali halisi utapata matokeo unayoyategemea na si vinginevyo.
Kutambua...
kumekuwa na tatizo la obesity kwa vijana wengi wa kitanzania bila wao kujijuia leo nakupa njia rahisi mimi ni mgeni humu uenda imeshapostiwa ila si mbaya kujikumbusha
-pima uzito wako kwa...
Inzi Wa Kijani.
INZI wa kijani anayefahamika kwa jina la kitalaamu kama Lucilia Sericata (green bottle fly) ni kati ya wadudu wanaoogopwa na binadamu kwa sababu ni chanzo cha
ugonjwa wa...
Ni kuhusu hizi products za clean 9 za kupunguza mafuta mwilini,je wadau kwa anayefahamu vizuri vipi ubora wake na uwezo wake wakufanyakazi?na je ni products za kweli?au wanataka tu kula pesa za watu?
Nina tatizo la vidonda vya tumbo..ila chochote nachokula tumbo linajaa gesi na nina umia sana..naomba msaada wa jinsi ya kukabiliana na hili tatizo tumbo kujaa gesi.
Hello Mwanajamii!
Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vema katika kazi zako za kila siku. Katika utendaji bora wa kazi unafuatana na utendaji bora wa ubongo pia. Ubongo wa mwanadamu hufikiri vema...
Wadau wanajamii bila shaka mnaendelea vema na kazi za kila siku. Napenda kuwapa ufahamu wa namna ya kupambana na tatizo kama lilivyojieleza hapo kwenye kicha cha habari. Watu wengi wana tatizo na...
Mpendwa msomaji. Bado tupo katika kudadavua faida za kiafya zitokanazo na chakula.
Leo, tutaizungumzia Soya ambayo ni maarufu sana nchini lakini kwa bahati mbaya wengi
hawajui kuwa ni chakula...
Heri ya mwaka mpya JF...natumaini mu wazima.
Nina tatzo la kuchoka sana muda wote,yaani nausikiaga mwili hauna nguvu pamoja na usingizi kila mara
hali hii inasababishwa na nini?
Watalaam nisaidieni,
wiki moja ilopita niliumia mguuni kwa kujikwaa kwenye ubao juu ya kisigino. kulionekana kama kubaki shimo, japo damu haikutoka sana na badala yake kama vimiminika vya mafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.