Women who delay having children enter a risk zone of problems in their early thirties, researchers say much earlier than was previously thought.
The risk of problems such as premature and...
Naomba kama kuna mtaalamu humu jukwaani asaidie tafadhali!
Kuna tatizo limemtokea ndugu yangu toka mwaka 2005 ikiwa ni kauvimbe mfano wa jipu karibu kabisa na
sehemu ya haja kubwa dr akapasua ila...
Habari zenu wakuu! Happy new year to you all!
Suala lililonileta kwenu hapa ni kutaka kufahamu juu ya hili!
Nimeshuhudia baadhi ya wanawake wakiwa wembamba na wakiwa na miili yao mizuri tu...
Wana JF, heri ya mwaka mpya
Katika pita pita zangu kwenye vijarida nimeona hii kitu inayozungumzia uwezekano wa mafuta ya nazi ikichanganywa na bangi yana uwezo wa kupunguza kasi ya uvimbe wa...
Why do some young men have heart problems
By: Hugh Wilson
Fabrice Muamba is not the first footballer to collapse on the pitch, but why are fit young men at risk of heart conditions?
At...
Here's An Updated Tally Of All The People Who Have Ever Died From A Marijuana Overdose
Drug War, Drugs, Marijuana Overdose, Drug Overdose, Marijuana, Marijuana Deaths,
Marijuana Deaths...
Poleni kwa majukumu, samhani sana wadau naomba tena msaada wenu japokua ni kwa faida ya wengi.kwa kawaida tunafahamu kwamba kuna mizunguko ya hedhi[MENSTRUATION CIRCLES] mingi kulingana na tezi za...
Kumekua na hoja kwamba vidonge vya kuzuia au vidonge vya uzazi wa mpango vina madhara kwa afya ya mtumiaji,je hizi dawa za morning after pills nazo zina matatizo au ni zile za mda mrefu tu?naomba...
Jaman naomba ushauri wenu,nimeongezeka uzito wa kg 15 kwa mwaka jana tu,december 2012 nilikua na kilo 78,december 2013 kilo 93,mim n mrefu,nasimama km fut 6,sijapanuka sana kuonyesha...
Asalam alayqum,
wadau,pamoja na kuwa nilitoa kama hoja katika moja ya uzi hapa,nimeona ni vyema niliweke liwe swali la kujitegemea,hivi vipimo vya VVU(HIV) vinauwezo wa kubaini vvu vyenye muda...
Habari wana jamvi, takribani mwaka sasa nilikua nina shida ya kupunguza uzito wangu kwa kilo 6 kutoka 87 mpaka 81 na sasa nimefanikiwa baada ya kufuata shauri mbalimbali humu jamvini....
Swali...
Hello!
Marafiki naombeni kusaidiwa kufahamu nini nicheck zaidi.
Nilikwenda hospitali kucheck afya baada ya kuhisi hali ya muwasho kwenye njia yangu ya mkojo na asubuhi nilipokuwa nikiamka niliona...
Heri ya mwakampya wapendwa! jaman nnatatizo la kuona mbal lkn sipendi kuvaa miwani ya kunisaidia, nfanyeje ili niweze kuona vema bila miwan? SIKUKUU NJEMA NYOTE
wale wataalam wa meno me nnashida moja tuu pindi nilvyokuwa na umri wa miaka 10 kwenda chini nilikuwa nasugua meno kwa whitedent nayalikua yang'aa meupeeeee mhh ila sasa hv meno yangu najitahid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.