Dokt, kwanza heri ya mwaka mpya. Kuna jamaa yangu wa karibu sana ana mke wake zaidi ya miaka 4 sasa, mwezi ulopita walienda clinic wakaambiwa kupima HIV matokeo yakaonesha wife ni anao na jamaa...
Habar zenu wana jamvi natumain ushaur wenu utanisaidia,nina mimba ya wiki nane cha ajabu gafla nimeanza kuona chembe chembe za damu zkinitoka je iyo hali ni ya kawaida au ndio mimba inatoka csikii...
Nawasalimu wote!
Nina rafiki yangu amejifungua mara tatu pre-mature na kila anapojifungua mtoto hufariki muda mfupi, kwa kweli inasikitisha sana na inauma kiasi ambacho hakiwezi elezeka. Hivi hii...
Doctars mimi nna matatizo mawili! 1.sipati ham ya kunywa maji yaani inafikia ha2a najilazimisha kunywa kama anae kunywa dawa!. 2.mgongo, kiuno vinaniuma kama vile mzee wa miaka 80 wakati umri...
Ni mke wangu,anaumwa kichwa,tumbo na hilo tumbo linanguruma na kujaa kama gesi vile,anasikia kizunguzungu,na macho haoni vzr. Mimba ina miezi tisa sasa kwa maana amekadiriwa kujifungua 10 to 28...
Mambo 6 muhimu kwa binadamu huwezi kupata ushauri hu kwa Ma-Daktari ila utapata hapa Jamii Forums:
1) Binadamu anatakiwa apate mwanga wa jua unasaidia kupata Vitamin D muhimu kwa Binadamu kwa...
Habari zenu wadau! naomba kusaidiwa mahali ambako naweza kupata tiba ya asili ya HSV-2, huu ugonjwa unakera sana kutokana na vipele vidogo vinavyotokea kwenye uke au uume pindi ufanyapo mara kwa...
habari wakuu! me ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nilikuwa nasoma shule ya seminary sasa nilikuwa na tabia ya kujichua kipindi nipo shule, baada ya kuacha hii tabia sasa naona pumbu zinakuwa...
Kila ninapokula chakula au kunywa maji ya moto au baridi meno yangu huhisi ganzi (hufaganza),kitu ambacho kinanifanya nishindwe hata kula au kunywa...
Naomba msaada kwa yule anayejua dawa.
Salam kwa wote wana jukwaa pendwa la Dokta.
Kumekuwepo na hadithi(simulizi) kuwa unapofunga Ndege aina ya Kanga huwa ni vigumu sana kumuweka kwenye mfano banda kama Kuku halafu kwa muda...
Wadau naombeni msaada kama kuna dawa za kizungu au kienyeji zinazotibu au kuondoa kipara katika kichwa. Na kama zipo madhara yake ni yapi kiafya,kiakili na kimuonekano? Nahitaji mwenye information...
Nawaombeni msaada JF Doctors tafadhali, mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 26 ana tatizo la kutoa harufu kwapani, nimejaribu kumnunulia ANTI RESPIRANT aina nyingi hazimsaidii, akiacha tu...
Kwa mwenye utaalamu tafadhali, nikistuka toka usingizina ucku nahic kukaukiwa sn ata mda mwingine inanibidi kutafuta maji ya barid sn ili kulainisha koo. kwa mwenye kujua sbb ya hii kitu
Baada ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku ya boxing day, nimeanza kuugua nahisi maumivu makali sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.