Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu,dada yangu ana tatzo la kujaa gesi tumboni hasa pale anapokuwa amekula. Tatzo Ni nini kwa wanojua? nataka nimsaidie dada yangu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu heri ya Mwaka mpya Naomba kwa anayejua tiba nzuri wa ugonjwa huu wa fungus ya miguu (Vesicular Athletes feet) anipatie ushauri.
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Wakuu, kuna dawa yoyote mtu anaweza kupaka kwenye chunusi au kidonda na kikatengenezeka kidoti kama cha jokate?!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu na wataalamu nisaidieni hapo; je, kuna faida gani na hasara zipi za kunywa kiasi hicho cha maji kwa siku.? Nawasilisha.
1 Reactions
22 Replies
15K Views
Dawa sahihi ya malaria kwa mama anayenyonyesha ni ipi?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Jamani naomba uhakika wa hilo kweli kuku huyu mnyama tunaempenda kwa kitoweo anaweza kumuambukiza binaadam mafua?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
! Karibu watu 9 kati ya 10 hawaelewi hatari inayowakabili kwa kuwa wanene hasa sehemu za tumboni na katika nyonga. Uchunguzi uliofanywa kwa kuwashirikishwa watu 12,000 wa nchi za Ulaya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Gritty Grace akiwa na wanae mapacha. Hatimaye leo Ericana na Eluidi (pichani) watafanyiwa upasuaji wa aina yake ambao haujawahi kufanyika duniani. Watoto hawa mapacha wenye umri wa miezi tisa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Tafadhali nisaidie kwaushauli wa huduma yakwanza ya haraka mdogo wangu nilimuagiza kret ya soda akiwa njian moja ikapasuka chupa katikat ikiwa imebaki soda kidogo akanywa kias tumbo likaanza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Women's Issues Having a baby is a happy occasion that many couples look forward to. Yet more than five million Americans, both men and women, have problems with infertility. If you're trying...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wengi wanafikiria kuwa unene ni fahari, heshima, lakini huenda wanasahau au hawajui madhara mengi ambayo yamejificha nyuma yake Imekuwa ikidhaniwa kuwa unene wa mwili ni kufanikiwa kiuchumi au...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Mimi bwana kila Nikilala sifumbi macho sijui kwanini naomba help wadau
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Your deodorant could be full of dangerous chemicals. Think about it, you spray it all over you skin and then your body and blood absorb it... Stay organic, stay healthy. 99% of breast cancer...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana jf! Nina imani kuwa humu kuna madaktari na watu wenye ufahamu kuhusiana na mambo mbalimbali ya kitabibu. Suala ambalo ningependa tujadiliane hapa ni kuhusiana na hili tatizo...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
High Alert For All Girls Please Send To All Girls, "Please Read and spread to all the girls u know: Guys: to all ur friends, sisters, cousins etc. Please send it around A girl applied...
1 Reactions
9 Replies
12K Views
Habari za jioni wanaJF Doctor?? Nimeletea msichana wa kazi ila ana madoa mwili mzima, nimejaribu kumdadisi kama aliwahi kuugua ugonjwa wowote wa ngozi kama tetekuwanga ila.amekataa. Anadai...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wadau. Mwenzenu toka nizaliwe mafua yananipa shida sana hadi nmekua mtu mzma sasa naona ni kero. Naombeni ushauri ni dawa gani nitumie kutuliza au kuponya kabisa hii kitu coz inanikera...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za Jion, jamani tangu juzi nimejigundua nna pata maumivu kuanzia usawa wa kifuani(chembe) mpaka tumboni, yaani nikila chakula nakifeel kinavyopita mpaka kinafika mwisho, mwanzoni nilihisi...
1 Reactions
1 Replies
11K Views
Wanajamvi nina tatizo moja limeanza kama wiki mbili zilizopita, ni hivi, mi ni kijana nimeoa kama mwaka na nusu umepita na mi na mke wangu tunafanya mapenzi vizuri tu, tunapendana sana. Sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom