UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UGONJWA WA FIGO UNAOTOKANA NA KISUKARI (DIABETIC NEPHROPATHY)
YAPO madhara ya ugonjwa wa kisukari katika mwili wa binadamu na moja wapo ni ugonjwa wa figo...
Nimekuwa Baa moja jioni hii nikiangalia mechi ya Aston Villa na Man U, wanawake wote hapa wana matumbo makubwa, hakuna hata mmoja mwenye tumbo dogo yaani, nimejiuliza sana nikakumbuka nije nijenge...
nina kichomi ambacho sijawahi kukipata,kimetokea hapa chini ya kifua upande wa kulia unapoanza tu mbavu,jamani kinauma sana toka jana,nimecheki maralia sina,nikachoma sindano ya diclofenac kikapoa...
Nina mgonjwa wa kifua kikuu ambaye kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na Kisukari. Leo hii anaingia siku ya tano toka aanze dozi. Ukweli ni kwamba amedhoofika sana. Pamoja na yote nilikuwa nataka...
Habari wana Jf, mke wangu anatatizo la kuvimba papuchi mara tu baada ya kugegedana, tatizo hli limemuanza hvi karibuni baada ya kupata mimba, hii ni mimba yake ya kwanza hvyo hatuna uzoefu wowote...
Ile michezo vijana wanafanya kuleee.... sekondari!
Kumbe nasikia inasaidia kuondoa kisukari!!!!
New research suggests that masturbation is good for your health and may even help protect against...
wadau naombeni msaada ninasumbuliwa na vipele kisogoni nina zaidi ya mwaka nimepata hivi vipele nimetumia dawa nyingi sana bila ya mafanikio mwenye ufahamu wa dawa ya vipele hiyo naomba msaada
Habari zena wana jf naomba kujuzwa kuhusu uzazi naama jinsi ya kuhesabu siku zipi ni za hatari ( baada ya kumaliza hedhi mwanamke anaweza kupata mimba) na zipi sio za hatari ( mwanamke hawezi pata...
Habari wadau wenzangu. Leo nazungumzia kuondoa earwax au nta wa masikioni.
Earwax kitaalam unaitwa CERUMEN. Unapozidi kiwango kinachotakiwa ndani ya mwili wa binadamu husababisha mtu kutosikia...
apollo hospital ya india inatarajiwa kufungua tawi lao tanzania kutokana na makubaliano yaliyofanywa kati ya uongozi wa hospitali hiyo na tanzania,ufunguzi huo unatarajiwa kufanyika ndani ya miezi...
Ndugu daktari nimepata homa kali sana jioni hii, na chanzo cha hii homa nimekinasa, ilikuwa hivi jana mida ya jioni nilipata mlo wa mkate uliopakwa blue band na chai kidogo swaafi. Sasa wakati...
DRUG RESISTANCE
A. Plasmid-this is an extra chromosomal DNA genetically material that are mostly found in microbes i.e. bacteria. they are small loops of DNA which is double stranded .Used to...
Ni mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minane. Usiku analala usingizi wa vipindi vifupifupi huku kila mara anaposhtuka usingizini huomba maji. Anapopewa anakunywa glass nzima...
jamani mimi naomba msaada, ninaujauzito wa wiki kumi sasa, lakini moyo wangu umekuwa unaenda mbio sana kwa muda then unarudi katika hali ya kawaida, na hii hunitokea mara ninaposimama, kufanya...
nilikwenda jana kumtembelea my sister nikakuta mtoto wake mdogo wa miezi 11 hayupo sawa.
Anavidonda mdomoni vinafanya hawezi kula chakula kingine zaidi ya kunywa maziwa.
wakuu hii inaweza kuwa ni...
Salam wadau wa jukwaa pendwa la Dokta.
Kuna jamaa yangu anasumbuliwa sana na mafua kiasi cha kumkosesha raha kabisa na kuna baadhi ya dawa kama Codril,alitumia bila kupata matokeo mazuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.