Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habar zenu wana jf! Nna rafk angu anasumbuliwa na tatizo lakubld mapande ya damu kama maini awapo kwenye cku zake! Na damu inakuwa nyeusi yenye utelezi mzito, haumwi na tumbo wala kitu chochote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wanajamvi hivi ni kweli wanaosema wanauza dawa za kuongeza maumbile ya kiume wako sahii ama ni matapeli kuna dawa yakufanya maumbile yaongezeke amandio wanataka wale miela ya watu wanaokurupuka
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hivi kuna madhara yoyote? natafakari zile chenga chenga za scrub kwenye uso laini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watalam nisaidieni. Dada yangu mkubwa ana mimba ya miezi 4, ameenda clinick amepimwa na wamemwambia mtoto anakichwa kikubwa! Nini husababisha na tumsaidiaje? Asante.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Jf Doctors,. Nimekuwa na maumivu ya muda mrefu licha ya kufanya vipimo na tatizo kutoonekana,. Upande wa kulia mwa mbavu ninahisi maumivu sana hasa pale ninapovuta hewa ndani, pia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Health Benefits of Aloe Vera The aloe vera miracle: A natural medicine for cancer, cholesterol, diabetes, inflammation, IBS, and other health conditions...Must Share When I say aloe vera is the...
0 Reactions
11 Replies
30K Views
habari zenu wana jf wa jukwaa hili! ni jambo lisilopingika kuwa kuna wadau wengi sana ambao wanafanya mazoezi na wamekuwa wakiamini kuwa mtu yeyote yule afanyaye mazoezi ya viungo hawezi ugua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
maumivu makali jamani sehemu za siri, hasa wakati wa kukojoa, na vimkojo vinatoka kiduchu na vya mara kwa mara, nilienda hosptl nikapewa flagyl na doxcycilin, ni siku ya nne sasa natumia dozi, cha...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Dear jf members Nina maumivu ya mgongo for long time nimejaribu kutumia mazoezi ya CERAGEM lakini siponi naomba kwa anaejua zaidi yaani panavuta na nikipagandamiza panauma kama mtoki vile naomba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hiv hii inatokana na nn jamaniii
0 Reactions
7 Replies
2K Views
It starves your brain, tangles and twists vital cells, and for decades it has been misrepresented as an untreatable, genetically determined disease. Alzheimer's disease is the 6th leading cause of...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari jamani tatizo langu ni kuwa na weusi katikati ya mapaja yangu msaada wa hilo tafadhalini
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za leo wana jf? Naombeni msaada mwenzenu. Mi nina umri wa 43 na nimetahiriwa ukubwani, nauguza kidonda, leo siku ya 5. Kwenye ukingo wa kichwa cha uume kuna vipele vidogovidogo vipo kama...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
habari zenu wadau, Nina mwanangu umri mwaka 1miezi8 ambapo ameanzisha mfumo mpya wa chakula. Anaamka saa kumi na moja na nilazama ale ukimpa vya watoto hataki kabisa anataka kipora hadi saiv...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Nafanya mazoezi sana,nimejinyima chakula nikaambulia madonda ya tumbo,asali,maji ya uvuguvugu,ndimu vyote nimetumia mwaka sasa unaisha,matunda mboga mboga mpaka zimenichosha-jana nimepandwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtaalamu na mshauri wa mazoezi ya viungo. Tafadhali tuwasiliane kupitia PM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Human Brain Analysis :-MUST READ Man vs. Woman......!! 1. MULTITASKING: Women - Multiple process Women's brains designed to concentrate multiple task at a time. Women can Watch a TV and Talk...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mke wangu alipatwa maralia na kupewa dawa Duo cotexin na panadol kwa siku tatu. Amemaliza dozi trh 17 Dec. Lakini ameendelea kutapika,kuumwa kichwa, kuharisha na joto kupanda. Kuona hali...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wazima jamani,naomba kuelimishwa juu ya hili.Kuna wanaume ambao wakipga ktu uwa wanaunganisha hapohapo bila ya kupumzika na anaeza fksha ata 3 maybe. Je hii ni kawaida au ni tatzo? Na ni sababu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom